Recent content by LUS0MYA

  1. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Kwanini UDART haitangazwi mufilisi ili ipatikane suluhu ya usafiri jijini Dar es Salaam?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa UDART maarufu kama mabasi ya mwendokasi imeshindwa kutoa huduma kwa watu na yenyewe imekuwa ikijitetea kuwa haina mabasi ya kutosha kwa sasa. Kwa sasa wananchi wanapata adha kubwa ya usafiri kiasi ukipita asubuhi vituo vya mwendokasi vimejaa abiria ambao husubiri...
  2. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania KERO Responded NEMC ipige marufuku chupa za plastiki za rangi kuzalisha bidhaa kama energy drink

    Nilishtushwa na maelezo kutoka kwa vijana waokota makopo kuwa aina hizo za chupa hazina soko na hazitumiki tena viwandani kwa maana ya kuwa recycled. Tunashuhudia uchafuzi mkubwa wa mazingira kutokana na hayo machupa yaliyotumika aina ya chupa imewekwa hapa Pia soma ~ Tumeamua Jiji la (Dar)...
  3. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji ingilia kati DAWASA, hali ya maji Dar ni mbaya sana

    Mheshimiwa Waziri wa Maji matatizo ya maji ya miaka kumi iliyopita yamerudi katika jiji la Dar es Salaam pamoja na kwamba hakuna taarifa ya kupungua kwa maji. Hali ni mbaya zaidi kwa DAWASA Kimara ambapo pamoja na kupitiwa jirani na bomba kubwa kutoka Ruvu juu uhakika wa maji ni mdogo. Hali ya...
  4. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Sijui Moderators mnachoka huyu jamaa anasema Makonda amemuibua Rais Mstaafu wakati aliyetangulia kusema ni Rais Mstaafu kwenye mkutano mkuu?Tulinde hadhi ya hii forum tusilete post za Facebook humu.
  5. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Binti Matola mwanamama shujaa aliyepinga uhuru wa Tanganyika kuwa 1971

    Pamoja na ukristo wangu naumia sana pia mchango wa uislam na waislam katika historia ya nchi yetu usivyotajwa popote. Na hata uamuzi wa waislamu kubariki mkristo Mw Nyerere kuwa kiongozi wao ndiyo chanzo cha umoja tunaojivunia leo...
  6. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Binti Matola mwanamama shujaa aliyepinga uhuru wa Tanganyika kuwa 1971

    Historia ya Tanganyika imemficha mwanamama huyu ambaye alipingana na viongozi wa Tanu wakiongozwa na Mwalimu Nyerere na wazo la UN kuwa Tanganyika ipewe Uhuru mwaka 1971 na kushinikiza uhuru wa Tanganyika kuwa 1961 na kuleta slogan maarufu wakati wa uhuru ñi sasa. Kuendelea kutawaliwa na...
  7. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze kiwango cha ufaulu kudahiliwa katika vyuo vikuu

    Ni wakati sasa serikali kufanya maamuzi ya kuongeza kiwango cha ufaulu kwa udahili wa wanafunzi kujiunga vyuo vikuu ili kulinda hadhi ya vyuo na kupata graduates bora katika soko la ajira. Napendekeza kiwango cha CCC kitumike na wanafunzi watakaoshindwa kupata hiyo sifa wajiunge na kozi za...
  8. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo turufu ngumu kwa CCM na Serikali yake

    Suala la kikotoo lilianza tangu kipindi cha awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete lakini zilitengenezwa mbinu fulani likahairishwa na mfupa akatupiwa Hayati Magufuli katika awamu ya tano. Pamoja na sifa ya ujasiri wa kutoa maamuzi magumu magufuli naye alilitelekeza kinamna kwa kulipiga kalenda na...
  9. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ahmed Yahya Abdulwakil, mbunge wa Kwahani afariki dunia

    Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha mbunge wa Jimbo la Kwahani, Zanzibar Ahmed Yahya Abdulwakil ambaye amefariki ghafla kwa shinikizo la damu. Dkt. Tulia amelazimika kuahirisha shughuli za Bunge hadi Aprili 15, 2024. Ahmed Yahya Abdul-wakil enzi za uhai wake ---...
  10. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya barabara jimbo la Kibamba mkoani Dar es Salaam ni mbaya sana

    Wakati mwingine watu wanajiuliza hili jimbo lilianzishwa kimakosa? Barabara zote muhimu ni chakavu na sio za lami. Nilipita barabara ya kibanda cha mkaa kwenda mjimpya nikajiuliza hili jimbo lina Tarura? Na kama Tarura ni wazembe mbunge na diwani na hata chama tawala wako wapi? Kimsingi hili...
  11. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie upya ruhusa ya maduka ya fedha za kigeni

    Athari ya kuwa na maduka ya fedha za kigeni mtaani inajitokeza na tayari athari zimejitokeza. 1. Fedha ya Tanzania sio stable tena inabadilika badilika hivyo kuharibu mfumo wa bei ndani ya nchi. 2. Mwanya kwa viongozi wasio waaminifu kupokea rushwa bila kuonekana kwa kuwa miamala hiyo ni ngumu...
  12. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Sababu zulizomuondoa uenezi CCM dar ndizo zinamkaba
  13. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Hasara ATC; Serikali isitumie ndege za ATCL kwa safari za viongozi na zisizo za kibiashara

    Tunaweza kuweka lawama kwa hili shirika lakini kwa hivi karibuni ndege zake zinatumika sana kwa safari za kiserikali na ambazo sio za kibiashara. Hii mara nyingi husababisha kuchelewa au kahairisha au kupunguza safari. Ni afadhali serikali ipewe ndege moja ya ATCL kwa ajili ya viongozi na mambo...
  14. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Iweje mwekezaji wa kuendesha mradi wa mwendokasi atajwe kabla ya utaratibu?

    Majuzi taarifa zilijitokeza kuhusu kupata mwendeshaji wa mradi wa mabasi ya mwendokasi na idadi ya makampuni ya nje na mawili ya ndani yaliyojitokeza kuingia kwenye mchakato... lakini siku mbili baadaye kampuni ya ENG kutoka uarabuni imetajwa kama mwekezaji mpya? Huu mchakato ulifanyika lini na...
Back
Top Bottom