Recent content by LUPO

  1. L

    Baba wa Akwilina atamani kukutana na muuaji wa mwanaye

    Mbunge aliyepata ubunge kwa mikono ya damu isiyo na hatia.
  2. L

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Wapo watalaam waligundua mambo meng kabla ya kuzaliwa Yesu mf Archimedes, Pluto na wengine jiulize hiyo koran iliandikwa lini? Nahata waliothibitisha Dunia ni Duara waliish kabla ya kuandikwa koran, yapo mengi yaliyogunduliwa kabla ya icho kitabu ila inategemea unalenga wapi.
  3. L

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Kwenye koran ni wapi Mtume Mohmad kasema mimi ni Mtume. Weka andiko
  4. L

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Hao ni mitume wakiyahudi kwahiyo uislam na uyahud ni sawa? Muasisi wa Uislam ni Mohamad somen hata historia nje ya koran
  5. L

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Askali wa kirumi
  6. L

    Je wajua kuwa Wayahudi wenye kumuamini Kristo hawaruhusiwi kuwa raia wa Israel?

    Rudi kwenye biblia ya vitabu 66 ambavyo ni msing wa hoja yenu iliyokuwa inamhusu ibrahim na mibaraka aliyopewa. Tofauti zipo na hazitakosa ndio msing wa kuwepo madhehebu ktk Ukristo,Uislam nk.
  7. L

    Je wajua kuwa Wayahudi wenye kumuamini Kristo hawaruhusiwi kuwa raia wa Israel?

    Kama nia ni kutafuta utofauti basi ipo biblia ya kiingereza ipo ya kiswahili,kilatini n.k Zipo biblia zenye raman ya israel ya kale zingine hazina. Zote hizo ni tofaut pamoja na hiyo ya vitabu hiki 66 na hik 78. MUHIMU Unataka kujifunza nini na kimeandikwa wapi.
  8. L

    Hamas: Hakuna nchi inayoitwa 'Israel' hata mji mkuu wake uwe 'Quds

    Asili ya jina Israel linatokana na Yakobo ambae ni mjukuu wa Ibrahim yaani Mtoto wa Isaka,kwahiyo ibrahim ni chanzo cha israel.
  9. L

    Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

    Mungu alimchagua ibrahim atoke katikati ya ndg zake kisha akambariki yeye na uzao wake wote tena akasema nitakufanya kuwa taifa. Swali. Ndg zake Ibrahim ni viumbe wa Mungu kwanini Mung alimchagua ibrahim peke yke tena akambariki? Mungu akambariki ibrahim pamoja na kizazi chake, kizazi cha...
  10. L

  11. L

    Kidini Israel na Trump wapo sahihi, kisheria Wapalestina wapo sahihi

    Mungu wa Ibrahimu,Isaka,Yakobo na Musa ni Jehova ndio Mungu wa Wayahudi na Wakristo. Uislam unaamini katika Jehova? Hao mitume wote uliowataja walitumwa na Jehova, na wote ni waisrael. Je Mohmad nae alitumwa na Jehova? Katika majina 99 ya Allah je jina Jehova lipo? Mungu wa kweli alimchagua...
  12. L

    Kidini Israel na Trump wapo sahihi, kisheria Wapalestina wapo sahihi

    Wanasema israel ni kitovu cha dini tatu uyahudi, ukristo na uislam, kwani uislam ulianzia israel?
  13. L

    Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

    Waisrael dini yao ya asili ni uyahudi, din ya yesu na kitabu chao ni torati, yesu kristo myahudi wafuasi wake wanaitwa wakristo na kitabu chao ni biblia yenye vitabu vya torati na injili. Vitabu vimejaa Historia tangu uuambaji wa dunia na vizaz vyake maisha ya waisrael tangu ibrahim...
Back
Top Bottom