Recent content by Lunemo

  1. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lisishiriki kwenye mchezo mchafu wa kuwahadaa Watanzania, Mkurugenzi wa Yono akamatwe

    Kwenye clip Ayo TV walionekana wote wawili alikua mswahili akiambiwa na mzungu ataje kiasi si kweli hakuonekana ndugu.
  2. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri za kuzuru mwezi ujao kwa budget ya chini

    Mtwara kuko poa
  3. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeshika nafasi ya pili juu ya matumizi ya technology yenye tija kwa maendeleo

    Hahahha daah nasi tupo eeeh.
  4. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa leo wa CHADEMA kwa waandishi wa habari waacha maswali mengi

    Let's pray for Lisu hizi hazisaidii kwa sasa.
  5. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Mwenye picha ya Manji akiwa amevaa Jezi ya Yanga naiomba

    Sasa hii ni Jezi?
  6. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

    Kuhoa ,,,$@@
  7. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu: Maadui zetu wamebaini kupenyezewa "kirusi"?

    Hii vita ya kiuchumi itatusumbua.Mkuu unaona mbali sana.na siasa za bongo wananchi wakiona watu wanatofautiana kwenye majukwaa basi ni ugomvi mpaka mtaani hii ni mbaya zaidi na weupe watatumia udhaifu wetu kutufarakanisha ili waweze kututawala kiurahisi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wenzangu tuvumiliane ila ukweli wa mechi yetu ya tarehe 23 August, ni huu

    Inabidi ww ndio ujitoe Muhanga.hahaha una lolote atakaa Chura FC. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    Namna hiyo.no stress
  10. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali inaficha jambo kuhusu ununuzi wa ndege mpya

    Naona ni kitu kizuri zitto kakiongea let shout as Tanzaniani.pls mkulu afuatilie hilo suala ili tusiibiwe tena.
  11. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Kukosewa kwa spelling za jina au majina kutofautiana kati ya cheti na cheti itahsebaka ni feki

    Spelingi ikikosewa siku nyingine wahi mapema kuepuka usumbufu kama huu.ni muhimu sana ingawa si Watanzania tunapuuzia sana hivi vitu.
  12. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Kukosewa kwa spelling za jina au majina kutofautiana kati ya cheti na cheti itahsebaka ni feki

    Nenda NECTA watakurekebishia suala lako na utarudi kutumikia Umma.
  13. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Nimefuma kitabu chake chenye majina ya wanaume 50 aliowahi kutembea nao

    We ni wa ngapi?
  14. Lunemo

    JamiiForums Tanzania Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

    Pole Roma tatizo ni nini ?
Back
Top Bottom