kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,839
- 20,285
Ni vigezo gani wanavyozingatia?
Mfano jina la cheti cha kuzaliwa ni YUSUPHU MANJI halafu jjna la cheti cha form 4 ni YUSUFU MANJI na cheti cha form six ni YUSUPH MANJI jina lenye shida ya spelling hivyo lina shida wakuu
Maana wengi wana shida ya majina hususani kwenye spelling
Jee kwa mfano huo italeta tatizo kwenye uhakiki wa vyeti?