Recent content by lumangira

  1. L

    Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    sawa hiyo bendera ya Taifa nyuma ya kiti pembeni imetumika kama pazia dukani au? Mtetezi wa makonda tupashe zaidi.....!
  2. L

    Kamati kuu (CC) ya CCM yampongeza Rais Magufuli, yamtega...

    Eti majungu hizo n i dalili z kutaka kudhoofisha juhudi za mzee pombe,sasa anaeleta majungu akithibitika na taarifa yake atiwe kolokoloni kwa nini rais atiwe uwoga kwa Neno MAJUNGU? walitaka aunde tume amabzo baadae husafisha ukweli na ripoti zake hufichwa ikulu,hapa kazi tu hakuna tume wala...
  3. L

    CUF wasiposhiriki uchaguzi hakuna haja ya kupoteza pesa

    Hakika tusipotezeane muda kusimama kwenye mistari mirefu kujiandikisha na hata kupiga kura.
  4. L

    GE2015 Hakuna kifungu cha sheria kinachomruhusu mpiga kura kukaa nje ya mita 200 toka kituoni akilinda kura

    Tanzania tuna utamaduni wa kukusanyika vijiweni kupiga stori au kujadili mambo mbalimbali ya kijamii au matukio, fursa kama hii walioikosa katika nchi zao wameibukia kupindua serikali zao ama kukosa amani,kwa watanzania hii ni njia ya kukuza kujenga amani na utulivu kwani hapo vijiweni watu...
  5. L

    GE2015 Hakuna kifungu cha sheria kinachomruhusu mpiga kura kukaa nje ya mita 200 toka kituoni akilinda kura

    Habari,taarifa yako haija balance,rudia utafiti ndugu...!!
  6. L

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Ben,siasa ipo hapo,mkuu wa kaya alipolazwa ughaibuni kwa operation ya tezi dume kila siku picha tuliziona na mawasiliano ya simu yalikuwa asilimia mia,kwa kiongozi wa umma ni haki ya wananchi kujulishwa kama wanamashaka na jambo lolote kuhusu uhai wake.Mazingira alioondokea yaliwapa mashaka...
  7. L

    CHADEMA hawatabadilisha Katiba wakishinda uchaguzi

    Ongeza uwezo wa kufikiri ndugu,Katiba ikibadilishwa haianzi kutumika siku hiyo hiyo inaweza kuchukua hata miaka mitatu mbele au zaidi.
  8. L

    Hivi ni kwanini maji ya mto Nile yanatoka ziwa Victoria(chini) na yanapandisha kwenda Egypt(juu)?

    (Wlifutiwa Geography na History hapa katikati tuna kizazi kisichojua hata hisoria ya nchi yao)
  9. L

    Ripoti ya mwenendo wa vyombo vya habari vinavyoripoti uchaguzi na hali ya usalama kwa waandishi

    (Nadhani hayo ni maoni yao tu hayana mashiko, hayana nguvu yoyote kwani faulo za chama tawala hazijaanzia uchaguzi huu pia vyombo vya dola kutumika kisiasa sio jambo la kushangaa ni kawaida kwa Tanzania pia wamesahau kuzungumzia VITISHO vya vita baadhi ya wapiga kampeni wa ccm wanapitapita...
  10. L

    Mambo 5 yatakayowapa UKAWA ushindi katika uchaguzi 2015

    (Ruzuku ni pesa ya chama sio ya maendeleo ya wananchi,kazi yake ni kujenga chama,Jadili mabilioni ya ESCROW Kodi za wananchi,EPA kodi za wananchi,MEREMETA,wizi BOT,Kashfa za Rada,NK. ww unataka kujengea hoja RUZUKU haihusiki na ukosefu wa dawa hospitalini,Waulizeni Nani mfanya biashara ya NDOVU...
  11. L

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa uwanja wa Diesel, Newala-Septemba 21, 2015

    watu wakifurahi ni maandaman o,watu wajifungie ndani wakitaka kufurahi
  12. L

    TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    fresh ya shamba` hizo ni akili za kushikiwa, huna zako? kila raia ana haki ya kuchangia jambo na bila kujali wadhifa wake au itikadi yake ktk Taifa.
  13. L

    Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

    Wafanya biashara wa kizungu ama wahindi wakiwa madalali hamsemi kitu ila watanzania wenzenu wakiwa madalali midomo juu juu
  14. L

    Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Wabunge pigeni kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu au rais
  15. L

    Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

    Watu wakitumwa kufanya uovu hadharani halafu mzee sita unataka kutuaminisha kwamba ni alama za nyakati? kwa hiyo tunapinga rasimu ya kibabe uloileta ni alama za nyakati sio? Basi kama ndivyo, alama za nyakati ni kwamba wananchi tumewachoka na chama chenu cha vitisho,vurugu, utesaji kwa wananchi!!!
Back
Top Bottom