Mambo 5 yatakayowapa UKAWA ushindi katika uchaguzi 2015

kwenye swala la elimu, ushiriki wa vijana, na dhana ya mabadiliko nakubaliana na wewe.. lakin ishu ya katiba mpya, kusimmia uwajibikaji na usimamizi wa rasilimali za umma nakataa. huu ni ulaghai wa mchana kweupe. huwez mkabidhi majukumu hayo kubwa la mafisadi alaf utegemee matokeo chanya.. hell no

Usilolijua kuhusu KATIBA MPYA ni kwamba hayo madaraka hatakuwanayo kama ilivyo sasa. Uteuzi kila kona, na Uteuzi wenyewe kigezo kimojawapo ni uanachama wa ccm.
 
nakushauri umpe kura yako Lowassa kwani hvyo ulivyovitaja akiviweza tz tutakua mbali sana achana na hao wasioeleweka.
VIVA UKAWA

akiviweza. akishindwa?? maana tayari kopo limeanza kutembezwa saidia ukawa saidia baba. chezea mafuta ya ndege wewe!!
 
MAMBO 5 YANAYONIPA AMANI YA KUWAWAPA DHAMANA UKAWA FOR 2015-2020

i. Elimu
ii. Katiba mpya
iii. Usimamizi wa utawala wa sheria na uwajibikaji
iv. Ulinzi wa rasilimali hasa gesi na mafuta
v. Chachu ya vijana/ushirikishaji wa vijana
vi. Dhana ya mabadiliko/changes:

A. Elimu, Elimu, Elimu
Tushabikie kitu chenye uhalisia kwa fahari bila kuogopa, tusiwakosoe kuwa serikali yao itawezaje kuitekeleza sera hii muhimu, bali tutafakari umuhimu wake ili tuone namna ya ku support iweze kutimia

Mataifa mengi yamepata mapinduzi makubwa kiuchumi kupitia elimu, mfano UK and US elimu yao ni bure bure bure na ni elimu bora, wata compromise kwenye maeneo mengine but they dont mess up with education....kama unaona mbali utakubaliana na mimi kuwa hata Jamhiri ya Uchina, Malasia, Singapore, South Korea, Japan ni Elimu kwa vijana wao iliwekwa kuwa kipaumbele na hapo vijana hawa wakaja kuikoa nchi

2014 Marekeni walitumia $3.5trilion kwenye education ambayo ni sawa na 20% ya budget katika mwaka wa fedha

Faida za elimu
1. Huondoa ujinga
2. Huongeza ujaziri, confidence
3.Hujenga ubunifu
4.Huimarisha ushindani.

Elimu tunayoitaka:
1.Free education: Elimu bora/quality, waalimu bora, mazingira bora maslahi....tangu elimu ya awali mpaka university, tufike mahali mtu akitaka kumsomesha mwanae private schools iwe ni hiari tu ila siyo kwa sababu elimu ya Umma siyo BORA
2. COMPETITIVE EDUCATION KWA HIGHER LEARNING: ELIMU YENYE UBORA NA USHINDANI
3. Capacity and infrastuctures za kutosha ili watu wote wanaotaka kusoma wapate nafasi.
4.Maarifa ya kazi/home craft iwe ni sehemu ya lazima katika elimu
5.National service ni compusory kwa wahitimu wa form six
6.Uwekezaji katika sayansi na technology upewe kupaumbele
7. Kusomesha vijana wetu vyuo vya nje kwa wingi pale inapokuwa hakuna nyenzo hizo hapa nyumbani
8.Tafiti endelevu/vyuo vya tafiti nk

B. KATIBA MPYA:

KATIBA YA WANANCHI ITEKELEZWE KWA DHATI: RASIMU YA WARIOBA

C. RASILIMALI/GAS + MAFUTA:
1.sera nzuri ya uwekezaji, wizara pekee ya kushughulikia eneo hili
2. Ulinzi wa rasilimali zetu.

D. UTAWALA WA KISHERIA:
Sheria nzuri isiyokandamiza na inayofuatwa:

E. CHACHU YA VIJANA:
Sehemu nyingi duniani ukiona vijana wanaingia kwenye jambo ujue mapinduzi ya kweli yanaendakutokea, hili ni jambo liko hivyo kihistoria.
Inasemekana asilimia kubwa ya wapiga kura wa mwaka huu ni vijana, hili ni jambo la heri pia kwa kuwa zaidi ya 60% ya Tz ni vijana, hivyo
wakiamua wanaamua sawasawa na matakwa yanayowahusu zaidi. Jambo hili linatiwa chachu na ukweli kwamba hata wagombea waliowengi ni vijana.

F. DHANA YA MABADILIKO:
Changes are inevitable: Falsafa ya mabadiliko ilimpa OBAMA ushindi mwaka 2008: ni dhana kubwa yenye maana kubwa pia:
"Big changes in your life may be to move to a new city, state, or country, or a change in jobs. You can even try really hard to change who runs the government. In fact, that last type of change is probably one of the biggest a group of people can experience. When there is a significant disruption in a government that leads to new or modified leadership or policies, we call this type of change political change"

Kimsingi tuache ushabiki, tuhurumie vizazi vijavyo, Nigeria waliona hilo na kuamua kwa pamoja hata wanachama wa PDP wakamnyima kura rais G. Jonathan na Kumchagua Gen. Muhammadu Buhari wa APC kwa 53.96% Huku chama tawala wakiabulia 44.96% ya kura zote:

Nguvu ya umma hutumika kwa maslahi ya umma, kuziondoa tofauti zetu za kivyama na kuamua kubadilisha serikali, bila kujali upo chama gani..mambo kama haya hufanyika hata Marekani...bila kujali uchama watu huamua kupiga kura kiuzalendo zaidi

KARIBU TZ MPYA YA UKAWA:
MUNGU IBARIKI TZ

Vijana wa kiume ndio wanamuonga mkono Lowasa ila wakike niwachache sana ukitoa wa kaskazini na huo ndio ukwli ambao wana Ukawa wengi hamjui kwamba wasichana wengi ni Magufuli ambao ni ni wengi kuliko wanaume pia niwapigaji kura kuliko wavulana. Pia watu wengi wenye umri zaidi ya 35 ni Magufuli.
 
Jaman me hata nikifa naomben kikatio changu kiikate shsh M kwafaida ya mwanangu
 
mkuu hapo utanifanya nicheke.. nani mwenye uchungu na inchi hii katika hao wanaomzunguka. mbowe, sumaye, lema, msigwa sugu.... kweli hao ndo unasema wana uchungu.... acha masihara ndugu. au tuanze kumwaga mambo yao hadharaini.. moja tu ni kwamba katika vihela vya ruzuku wanavyopewa wanapata hati chafu ya CAG Alaf unaleta story et kazungukwa na waadilifu....
(Ruzuku ni pesa ya chama sio ya maendeleo ya wananchi,kazi yake ni kujenga chama,Jadili mabilioni ya ESCROW Kodi za wananchi,EPA kodi za wananchi,MEREMETA,wizi BOT,Kashfa za Rada,NK. ww unataka kujengea hoja RUZUKU haihusiki na ukosefu wa dawa hospitalini,Waulizeni Nani mfanya biashara ya NDOVU DUNIANI?Elimika kijana acha ushabiki wa kizandiki,hujatuambia kwa nini hospitali hazina dawa? kwa nn watoto wanakaa chini mashuleni? kodi inayokusanywa kila kukicha inakwenda wapi? Amka acha u bogas???
 
niliposema cag katoa hati chafu cdm kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku sikumaanisha walitakiwa kutumia hiyo ruzuku kwa matumizi ya maendeleo ya inchi... namaanisha waliitumia kinyume na taratibu za matumizi ya pesa ya umma. watu kama hao ukiwapa hazina ndo watumie kwa maendeleo ya inchi wataweza kweli kufuata misingi iliyowekwa????? kama wameshindwa ku-manage vihela vidogo vya ruzuku wakipewa hazina watashindwa vp kutuingiza kwenye ufisadi ule ule wa ccm..
Mimi na akili zangu timamu mkuu usinichukulie poa..

eti unauliza kodi inayokusanywa inaenda wapi.. wakati nyingine imepelekwa cdm kama ruzuku na ikaishia mifukoni mwa watu wakijidai wanajilipa madeni waliosaidia kampein za 2010.. ukiuliza ulikikopesha chama sh ngapi na mpaka sasa ushajilipa sh ngapi? mbona deni haliishi.. unatupiwa virago na kuitwa msaliti..
sipendi watu wanaofuata mkumbo bila kuhoji mambo kwa kina.

tunapaswa kujiangalia kama taifa tumejikwaa wapi mpaka kupoteza maadili kwa kiasi hiki. sio ccm, cdm, nccr au act.. watanzania wooote ni ma-selfish.

mnaodhani mnataka mabadiliko ili kukomesha ubadhilifu na ufisadi wa mali za umma mnajidanganya. labda kama mnataka kubadilisha wapigaji.. watoke hawa waingie wengine..
 
Usilolijua kuhusu KATIBA MPYA ni kwamba hayo madaraka hatakuwanayo kama ilivyo sasa. Uteuzi kila kona, na Uteuzi wenyewe kigezo kimojawapo ni uanachama wa ccm.
jaribu kuwaza kwa sauti mkuu.. hivi unavyowaona hawa waliomzunguka lowasa wameshaanza kuona dalili za uwaziri zinanukia.. wengine washaanza kujipangia wizara na wengine wameahidiwa kabisa.
nani wa kukubali katiba mpya itakayowazuia kuwa mawaziri.. maana katiba mpya inasema mawaziri hawatatokana na wabunge. nani akubali kati ya hao..

isitoshe lowasa mwenyewe hawez zungumzia hilo swala la katiba mpya kwenye mikutano yake.. amelikuta limeandikwa kwenye ilani.. lakin anaona hata aibu kulizungumzia maana anajua halitakuwepo..

mkuu sahau habari ya katibu mpya.. ni mwiba kwa watawala.. hawawez kuikubali.. ile inapendeza ukiwa mpinzani lakin ukishashika dola.. mmh.. yaya nkoi.
 
MAMBO 5 YANAYONIPA AMANI YA KUWAWAPA DHAMANA UKAWA FOR 2015-2020

i. Elimu
ii. Katiba mpya
iii. Usimamizi wa utawala wa sheria na uwajibikaji
iv. Ulinzi wa rasilimali hasa gesi na mafuta
v. Chachu ya vijana/ushirikishaji wa vijana

vi. Dhana ya mabadiliko/changes:

A. Elimu, Elimu, Elimu
Tushabikie kitu chenye uhalisia kwa fahari bila kuogopa, tusiwakosoe kuwa serikali yao itawezaje kuitekeleza sera hii muhimu, bali tutafakari umuhimu wake ili tuone namna ya ku support iweze kutimia

Mataifa mengi yamepata mapinduzi makubwa kiuchumi kupitia elimu, mfano UK and US elimu yao ni bure bure bure na ni elimu bora, wata compromise kwenye maeneo mengine but they dont mess up with education....kama unaona mbali utakubaliana na mimi kuwa hata Jamhiri ya Uchina, Malasia, Singapore, South Korea, Japan ni Elimu kwa vijana wao iliwekwa kuwa kipaumbele na hapo vijana hawa wakaja kuikoa nchi

2014 Marekeni walitumia $3.5trilion kwenye education ambayo ni sawa na 20% ya budget katika mwaka wa fedha

Faida za elimu
1. Huondoa ujinga
2. Huongeza ujaziri, confidence
3.Hujenga ubunifu
4.Huimarisha ushindani.

Elimu tunayoitaka:
1.Free education: Elimu bora/quality, waalimu bora, mazingira bora maslahi....tangu elimu ya awali mpaka university, tufike mahali mtu akitaka kumsomesha mwanae private schools iwe ni hiari tu ila siyo kwa sababu elimu ya Umma siyo BORA
2. COMPETITIVE EDUCATION KWA HIGHER LEARNING: ELIMU YENYE UBORA NA USHINDANI
3. Capacity and infrastuctures za kutosha ili watu wote wanaotaka kusoma wapate nafasi.
4.Maarifa ya kazi/home craft iwe ni sehemu ya lazima katika elimu
5.National service ni compusory kwa wahitimu wa form six
6.Uwekezaji katika sayansi na technology upewe kupaumbele
7. Kusomesha vijana wetu vyuo vya nje kwa wingi pale inapokuwa hakuna nyenzo hizo hapa nyumbani
8.Tafiti endelevu/vyuo vya tafiti nk

B. KATIBA MPYA:

KATIBA YA WANANCHI ITEKELEZWE KWA DHATI: RASIMU YA WARIOBA

C. RASILIMALI/GAS + MAFUTA:
1.sera nzuri ya uwekezaji, wizara pekee ya kushughulikia eneo hili
2. Ulinzi wa rasilimali zetu.

D. UTAWALA WA KISHERIA:
Sheria nzuri isiyokandamiza na inayofuatwa:

E. CHACHU YA VIJANA:
Sehemu nyingi duniani ukiona vijana wanaingia kwenye jambo ujue mapinduzi ya kweli yanaendakutokea, hili ni jambo liko hivyo kihistoria.
Inasemekana asilimia kubwa ya wapiga kura wa mwaka huu ni vijana, hili ni jambo la heri pia kwa kuwa zaidi ya 60% ya Tz ni vijana, hivyo
wakiamua wanaamua sawasawa na matakwa yanayowahusu zaidi. Jambo hili linatiwa chachu na ukweli kwamba hata wagombea waliowengi ni vijana.

F. DHANA YA MABADILIKO:
Changes are inevitable: Falsafa ya mabadiliko ilimpa OBAMA ushindi mwaka 2008: ni dhana kubwa yenye maana kubwa pia:
"Big changes in your life may be to move to a new city, state, or country, or a change in jobs. You can even try really hard to change who runs the government. In fact, that last type of change is probably one of the biggest a group of people can experience. When there is a significant disruption in a government that leads to new or modified leadership or policies, we call this type of change political change"

Kimsingi tuache ushabiki, tuhurumie vizazi vijavyo, Nigeria waliona hilo na kuamua kwa pamoja hata wanachama wa PDP wakamnyima kura rais G. Jonathan na Kumchagua Gen. Muhammadu Buhari wa APC kwa 53.96% Huku chama tawala wakiabulia 44.96% ya kura zote:

Nguvu ya umma hutumika kwa maslahi ya umma, kuziondoa tofauti zetu za kivyama na kuamua kubadilisha serikali, bila kujali upo chama gani..mambo kama haya hufanyika hata Marekani...bila kujali uchama watu huamua kupiga kura kiuzalendo zaidi

KARIBU TZ MPYA YA UKAWA:
MUNGU IBARIKI TZ

Kwa hivyo vipaumbele, Tanzania ya miaka 10 ijayo itakuwa kama lulu.
 
Back
Top Bottom