Ningependa utoe pendekezo sasa walim hawa wafanye nn hasa ili watekeleze kinachotakiwa kwny competency based syllabus?? Maana zaidi miundo mbinu ya shule zetu pia ni mibovu sana,darasa moja watoto 70,mwalim wa sayans mmoja anafundisha physics&chemistry shule nzima,vifaa vya maabara hakuna.Sasa...
Je mwalim wa sayansi anapaswa kufundisha nn/je ili aonekane amefanya kazi yake ktk sayansi? Mi naona mnazungumzia vitu tofauti na kazi ya mwalim ktk sayansi.Mambo ya uvumbuz na ugunduzi ni application of the scientific knowledge acquired by the learner/scintist from the teacher.Mwanafunzi...
Huyu naye kwel hajitambui,miundo mbinu yenyewe tu ya kufundishia ni mibovu shule zngne hata jengo la maabara tu hakuna.Halafu anazungumzia ugunduzi,sasa mwalim anafundisha mtaala au ugunduz wa vitu vipya?
Jipange tu tena kasome mambo ya afya achana na ualim kwa hayo matokeo unapaya.Ualim wenyewe ni manyanyaso chingu nzima cku hz.Na kama umesoma advance ukapata hata principal 1 unaenda kusoma diploma ya afya moja kwa moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.