Mwalimu wa CISA Anapatikana

Tunaendelea kusajili wanafunzi wanaohitaji kuanza kufanya review class za cisa..kuanzia january 2017. kwa maelezo zaidi tupigie
0713 451713 or 0764 978313
 
Cisa ya ukweeli Thailand tu, kuleni hela za wahasibu wavivu kutafuta vyuo
 
Ndugu yangu Ungaunga..CISA sio lazima ughaibuni..wala cisa haihitaji chuo ili uweze kuisoma, cisa sio kama degree ama diploma .. cisa stands for Certified information Systems Auditor..ni kozi ambayo hata wewe unaweza kujisomea nyumbani kwako as long as una materials na kisha u register for an exam na unafanya bila shaka...dunia ishaendelea sikuhizi,,sio kila kitu hadi ughaibuni,,tujali vya kwetu na tutumie wataalam wetu wa ndani....
 
tunaanza kusajili wanafunzi wanaohitaji kusoma darasa la CISA litakaloanza trh 20/03/2017. kwa mawasiliano tupigie kupitia..


0713 451713 or 0764 978313
 
Tunaendelea kupokea wanafunzi wanaohitaji kusoma review class ya CISA, darasa linaanza next week trh 03/04/2017.
For more information please Contact Sam Mujinja –Course Director through +255713451713/0764978313
 
Ratiba ya CISA kuanzia Apri-July 2017.

1. Tarehe 03/04/2017-05/05/2017
2. Tarehe 15/05/2017-16/06/2017
3. Tarehe 26/06/2017- 28/07/2017
 
Cisa mbona mm sielewi ni darasa na masomo gani hayo?Yawezekana hata ni nzuri ikamhusu kijana wangu pia,naomba mnifafanulie
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom