That was perfect.... ugonjwa mtu hachangii halafu harusi ndo wanaipa kipaumbele..watu mtu hata ukiwa na mgonjwa hakuna msaada..utashangaa huyo mgonjwa akifariki michango ya msiba itakavyotiririka..aibu yetu watanzania
Sijachangia for months lakini hii post ya Pasco imenifanya nichangie!!!!!Is it serious ulichoandika Pasco??hivi wananchi wanachagua mzawa au mtu wanayeona anawafaa?kuna mzawa alijitokeza na anauwezo kuliko Lema wakamnyima??acha ubaguzi ndugu yangu...kama ni kila mtu arudi kwao anza wewe kutoka...
Huyu mtu kwa kuanza tu kusoma alivyokua anaomba ushauri anaonekana hayupo serious na alikua na majibu mabaya kwa hata watu waliokua wanamuuliza maswali mazuri tuu..Nilichogundua ni kwamba huu ni msanii tuu na hajaenda popote..hapa ametutungia tuu story na kama alivyosema mdau hapo juu atawapata...
Sio wewe nimekuona kwenye thread flan ukishabikia mtembea uchi tena na kajirecord video ya ngono mwenyewe ukasema watu wanamuonea wivu kwaajili ya success????usinichoshe mie
Wewe kama unaona huwezi kupiga kura na huoni umuhimu wake acha ambao wanajisikia kupiga kura wapige..Sidhani kama kuna aliyelazimishwa kupiga. .this is a free world..Mtu anafanya anachoona kwake kinamfurahisha..So kama huoni umuhimu wake fanya yako mama
Mimi pia nimekua victim wa Tigo.. nilijiunga kifurushi cha elf29 kwa mwezi,ambacho ndo huwa natumia mara zote..nilijiunga tarehe 25/10..kufikia tarehe 11/11 nikajikuta siwezi kutumia internet MB 800 zimeisha!!!nikashangaa kwasababu sina matumizi makubwa ya internet zaidi ya kubrowse mitandaoni...
hivi wanawake kufanya kila kitu kwa boyfriend as if ni mumeo nani kasema????thats why wanaume hawaoi siku hizi kwasababu wanapata huduma zote..kama mwanaume anakuona unafaa kuwa mkewe atakuoa..ila hii habari ya kufanya majukumu yote hapana..fanya hizo kazi ukiwa kwako na kwa mume wako...so...
Mzizi Mkavu kwa hili umepotoka..mlima bado upo vizuri na barafu kwa sasa inaongezeka..miaka ya hapo nyuma barafu ilipungua kutokana na uharibifu wa mazingira.Ila kwa sasa waliouona mlima siku za karibuni watakubaliana na mimi kuwa picha yako haina uhalisia kabisa.
wewe mwenyewe ni ndugu wa mume upande flani..I hate watu wenye mawazo yako..lini waafrika tutabadilika tuache vimaneno maneno??mara mama mkwe,mara ndugu wa mume..don't you know kuwa kaka au mdogo wako akioa utakua ndugu wa mume??au mama yako atakua mama mkwe??TUBADILIKE!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.