Huu ni ukweli usiopingika haka kamama hebu kaondolewe kwanza halfu ndo tuje kwa mtoto wa mkulima,maana kuendelea kukakumbatia bungeni ndo maana kanazidi kuvurunda mambo makini Bungeni tuanze nako kwanza wazee.
Makamanda kiukweli hakuna kuyumba rudisheni jembe letu lile LEMA liwakate tena hakuna haja ya kukata rufaa hawa sasahivi ni wachache sana kwa pipooooooooooooooz.Arusha tunatinga kwa nguvu tena zaidi ya ile ya Arumeru.
Napi umechanganyikiwa kijana,Ya Arumeru imekushinda,sembuse A Town, labda kama mnakuja kuuza Mashati yenu tu karibu Arusha uje utalii tena uweze na kuongeza mapato ya mji wetu.
Imeniuma sana nimetoka Arumeru juzi tu hii leo tena Arusha,sawa nitarudi kwa nguvu zote japo nipo Mwanza hapa,na kipindi hiki tutawafanya mbaya hawa magamba,kumbe ni wagumu wa kuelewa,na ni vipofu kwelikweli.People's power.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.