Hiyo sheria wailete na huku Tanzania maana siku hizi wanalazimisha kuolewa kisa tu uko njema kimaisha na wakishaingia tu wanaanza visa na kudumisha michepuko ukimkoromea tu anaanza timbwili.
Mtoa mada unatakiwa kwenda kushare hizi habari kwa yule DC wa kahama aliempokea kwenye ule ugeni wa chuo cha sayansi maana waliahidiwa pia msaada wa mamilioni kadhaa ya pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.