""kama kingekuwepo chama kingine imara ningekipa nchi nikainyang'anya ccm lakini sasa sioni chama cha kukipa nchi yangu herikubaki tu na ccm mpaka pale vyama vingine vitakapokuwa IMARA"" ni mtazamo tu! NAPITA....
Thx to äll wanaJF kwa ushauri wenu umenijenga, kuanzia sasa utaanza kuwa mwangaza katka kumwepuka huyu anayetaka kunichafuria historia ya maisha yangu! Ahsanten sana'
Jamani naombeni ushauri, kuna mke wa mtu ametokea kushindwa kuzizuia hisia zake na kujikuta akinipenda na kunitaka kimapenzi. Nimejitahid sana kumpangua lakini hataki kunielewa kabisa na mpaka anatishia kujiua au kumwambia mme wake kwamba namlazimisha mapenzi endapo sitamruhusu kutembea nae...
Siku moja bana nilikuwa hotel fulan! Wakaingia kwa pamoja Mzungu na Msukuma mmoja muuza ng'ombe! Ilipofika wakati wa kuagiza vyakula: MZUNGU; Waiter bring one cup of coffee. Sasa yule msukuma aliposikia hivó akafikiri mzungu kamwagiza Kofi Olomide mwanamziki. Basi nae MSUKUMA: Mhudumu niletee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.