Msukuma na Mzungu jinsi walivyokutana hotelini ilikuwa ni kama ifuatavyo....!

Lukwa

Member
May 7, 2012
12
6
Siku moja bana nilikuwa hotel fulan! Wakaingia kwa pamoja Mzungu na Msukuma mmoja muuza ng'ombe! Ilipofika wakati wa kuagiza vyakula: MZUNGU; Waiter bring one cup of coffee. Sasa yule msukuma aliposikia hivó akafikiri mzungu kamwagiza Kofi Olomide mwanamziki. Basi nae MSUKUMA: Mhudumu niletee Madilu {akimanisha yule mwanamzik} hahahahaaaaaa........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom