Recent content by Lukumba

  1. L

    JamiiForums Tanzania Apandishwa mahakamani kwa madai ya kuitukana Serikali juu ya deni la Taifa

    Hakuna kitu hapo ni usanii tuuu , wananchi endeleeni kutoa maoni yenu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akataa wito mataifa ya magharibi kufuta sheria kali juu ya mapenzi ya jinsia moja. Tanzania bado tunaangalia upepo

    N Need best approach ...we jamaa upo serious kweli anyawy which approach ambayo ni best?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akataa wito mataifa ya magharibi kufuta sheria kali juu ya mapenzi ya jinsia moja. Tanzania bado tunaangalia upepo

    Ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani ambapo mtu yeyote anayesambaza ushoga anaweza kuhukumiwa kwa kifungo cha maisha au kifo ambapo amesema sheria imeishapita na haiwezi kufutwa. Akiongea katika mkutano wake na wanachama wa chama cha NRM amesema chama hicho hakijawahi kutumia lugha...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yamwaga Bilioni 800 za DMDP2 kujenga Barabara Dar es Salaam

    Hiyo Bilioni 800 wacha iende Dar ikaboresha hivyo vitu wanavyosema , mana hata Dar ndio inaongoza kwa idadi ya mashoga na wasagaji sasa mikopo kama hii inamalengo yake vijana wa Dar endeleeni kupanuana matak.. na kusiginana mana bado tunakopesheka
  5. L

    JamiiForums Tanzania Si ATCL AU TGFA hizi zote ni hasara na janga kwa taifa

    Wakati Bungea la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likipitisha makadirio ya Tshs Trilioni 3.5 za wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ni vyema Prof.Mbarawa atambue kuwa aidha ATCL au TGFA hasara kwa taifa achague moja kusuka au kunyoa ili kupunguza au kuondoa hasara kwa taifa. Kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

    ilete hapa video tuione tutoe maoni yetu ..
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

    wengine wanakula mpaka vyula
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

    Inategemea na nature ya wananchi , tabia zinazofanana na hapa kwetu sehemu nyingine does not apply
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

    Hakuna haijuae kesho si yeye wala wewe , ila yeye ni mpitaji wa mipango sio kibwegebwege , juzi kafungia makanisa 78 yasio na usajili na wachungaji wasio na degree ya theolojia wote kawafuta na makanisa yao kayafungilia mbali.....
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

    Safi sana bonge la plan , Tanzania tunafeli sababu ya Iman za watu wengine kwa Kagame anakuambia ukileta mambo ya Iman za kidini kwenye Mipango ya serikali , haraka katafute nchi yako
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume hudumieni familia zenu

    Hela ya kiberiti ,chumvi , pilipili yaani hawa hawajitambui kabisa , tambueni kuzaa mtoto sio kigezo au kinga kwako you will be in trouble allways kama hautabadilika.... change your mind from north to south and west to east
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume hudumieni familia zenu

    Nasemaje hii ndio kwanza imeanza mtakuwa masingo maza wengi kiasi kwamba mkienda kwa Mwamposifya kila unaegeuka nae ni singo maza mpaka mwamposifya nae atawachoka mana mpo wengi sana , badilikeni muwe na akili timamu muache akili za kushikiwa , tambueni kuwa huko tunakoelekea ni kugumu kuliko...
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume hudumieni familia zenu

    Si mlisema maisha ni 50 kwa 50 pambaneni sasa na bado huko tunakoelekea huo singo maza utakuwa mara mia zaidi nyie subirini alafu endeleeni kujichanganya , safari hii mpaka muokote makopo
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JInsi Mshahara wa Mkenya utakavyopigwa panga kuanzia Julai 1, 2023

    JIRANI ZETU WATAENDELEA KUKIONA CHA MTEMA KUNI , HAPO BADO ISSUE YA DOLA KUPOTEA HAIJAINGIA.. Huku Wakenya wakiendelea kukumbwa na hali ngumu ya maisha kutokana na ongezeko la gharama ya juu ya maisha, hakuna matumaini ya afueni kupatikana hivi karibuni. Hatua hii inajiri baada ya serikali...
Back
Top Bottom