izi zote ni complication,dada yangu kaanza kazi mpya wiki ilyopta,alikuwa mwalimu wa shule ya msingi zen kabadilisha sasa ni afisa maendeleo ya jamii.alichofanya baada ya kumaliza chuo aliambiwa aandike barua ya maombi aombe kubadilisha aina kazi ipitishwe na mkuu wake wa shule,mkuu wake wa...
Ni ukweli uliodhahiri kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana kuipa CCM changamoto za kufanya maendeleo nchini,japokuwa kuna malalamiko ya hapa na pale kuhusu mfumo wa siasa za CHADEMA lakini ukweli utabaki kuwa hiki chama kinadhihirisha mfano wa kuitwa chama pinzani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.