Hakuna muda maalumu wa ajira hizi, ila kwa uelewa wanguajira nyingi za serikali zinatolewa baada ya kupita kwa bajeti ya serikali hivyo basi vibali vya ajira vinatolewa kuanzia mwezi wa 10. kwa vigezo vya sasa ili uwe katibu tarafa unatakiwa uwe na degree au advance diploma katika fani za sanaa,uchumi, biashara,sheria, takwimu, mazingira.
Mshahara wa kuanzia ni TGS D ambayo kama 440,000 or 460,000 hivi (siyo actual figure but around that much).
Kwa utaratibu wa sasa ajira serikalini zinatangazwa na Sekretarieti ya Ajira Serikalini, nakumbua walitangaza nafasi nyingi zaidi ya 100 za maafisa tarafa mwezi wa 6, sijafuatilia kama walishafanya usaili.
Changamoto kubwa za kazi hizi ni kukubali kufanya kazi mbali nje ya miji nadhani karibu asilimia 95% ya maafisa tarafa wanafanya kazi wilaya ambazo zipo nje ya makao makuu ya mikoa.
Kwa sasa maafisa tarafa karibu wote wanatumia usafiri wa pikipiki, kuna kipindi serikali ilifikiria kuwapatia gari ndogo aina ya suzuki ila ikasitisha mpango huo, ikaona si vyema kuwapatia magari watu ambao hawana ofisi nzuri, kwa sasa serikali inampango wa kujenga ofisi nzuri za maafisa tarafa tanzania nzima manake nyingi ni mbovu sana
Dah' nimependa ulivyoshuka mkuu,,,!
Nahisi wewe ni journalist!
Big up.
Hapana ndg mimi na Afisa Utumishi nipo ofisi ya waziri mkuu, hii thread ipo kunako fani ,tunadili na tawala za mikoa na serikali za mitaa ambapo makatibu tarafa wapo, i know inside outside of the issue. Naitumia vizuri JF kuujuza umma
Nafasi kwa kuanzia kwa mchumi serikalini (Serikali kuu na Halmashauri) ni Economist Grade 11 ni TGS Dna sisi wachumi huwa tunalipwa sh ngapi huko serikalini?
Nafasi kwa kuanzia kwa mchumi
serikalini (Serikali kuu na Halmashauri) ni Economist Grade 11 ni TGS
D
je, afisa maendeleo wa jamii kiwango cha mishahara serikalini ni kuanzia sh. ngap?
Hapana ndg mimi na Afisa Utumishi nipo ofisi ya waziri mkuu, hii thread ipo kunako fani ,tunadili na tawala za mikoa na serikali za mitaa ambapo makatibu tarafa wapo, i know inside outside of the issue. Naitumia vizuri JF kuujuza umma
Kwa mujibu wa muundo wa utumishi serikalini kama ulivyoainishwa kwenye Waraka wa Maendeleo ya Utumishi wa Mwaka 2002 sifa za kuajiriwa kama WEO Daraja la ii ni muombaji lazima awe na shahada ya sanaa yenye mwelekeo wa sayansi ya jamii (social Science) Utawala, public Administration and local government, Sheria au Sifa nyingine inayolingana na hizo kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na mshahara wake utakuwa tgs d kwa mwezi.Afisa utumishi ebu nisaidie, mwenye fani ya uandishi wa habari anaweza kuajiriwa kama WEO?
Hapana ndg mimi na Afisa Utumishi nipo ofisi ya waziri mkuu, hii thread ipo kunako fani ,tunadili na tawala za mikoa na serikali za mitaa ambapo makatibu tarafa wapo, i know inside outside of the issue. Naitumia vizuri JF kuujuza umma
Siku hizi Sekretarieti ya ajira serikalini ndio inaajiri kwa niaba yetu pamoja na taasisi nyingine za serikali, sio rahisi sana kumfanyia mtu mpango, zamani kabla ya hii sekretarieti ingewezekana kufanyiana mipango. Mambo yote siku hizi skretarieti ya ajira serikalini na mimi kule sina mtu wa karibu wa kusaidia kwa hilo.hapo hamna ajira mkuu nifanyie mpango ntakupa ata ya chai.
Hapana ndg mimi na Afisa Utumishi nipo ofisi ya waziri mkuu, hii thread ipo kunako fani ,tunadili na tawala za mikoa na serikali za mitaa ambapo makatibu tarafa wapo, i know inside outside of the issue. Naitumia vizuri JF kuujuza umma
Hapana ndg, mimi na Afisa Utumishi, nipo ofisi ya waziri mkuu, hii thread ipo kunako fani, tunadili na tawala za mikoa na serikali za mitaa ambapo makatibu tarafa wapo, i know inside outside of the issue. Naitumia vizuri JF kuujuza umma