mshahara wa weo II

dbrane

Member
Jul 23, 2012
31
95
Wanajamvi ndugu yangu ameitwa kazin ofisi tatu kwa mpigo , aliniuliza nimwambie mshahara wa weo ii ni kiasi gani na kazi ipi ina maslahi kwake, za binafsi au serikalini? Msaaaaaaaaaaada......
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,000
Wanajamvi ndugu yangu
ameitwa kazin ofisi tatu kwa mpigo , aliniuliza nimwambie mshahara wa
weo ii ni kiasi gani na kazi ipi ina maslahi kwake, za binafsi au
serikalini? Msaaaaaaaaaaada......

kazi tatu zote daah
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
225
Wanajamvi ndugu yangu ameitwa kazin ofisi tatu kwa mpigo , aliniuliza nimwambie mshahara wa weo ii ni kiasi gani na kazi ipi ina maslahi kwake, za binafsi au serikalini? Msaaaaaaaaaaada......
toa taarifa kamili hizo kazi nyingine ni zipi? sasa tutakuambiaje kazi ipi ina maslahi wakati haujaziandika? serikalini viwango vya mishahara vinafahamika sasa ni yeye alinganishe na huko private alipopata!
serikalini una uhakika wa ajira lakini private bosi akijisikia anaweza kukufukuza anytime
 
M CM

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
2,451
2,000
Inabidi tuambie hizo kazi tatu ni zipi? then nitakushauri
 
the-true-wash

Senior Member
Oct 14, 2012
142
225
Kwa ushauri wangu as far as JOB SECURITY is concerned aende serikalini. Kama hujui nini maana ya job security kalagabaho
 
georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
3,782
2,000
Wanajamvi ndugu yangu ameitwa kazin ofisi tatu kwa mpigo , aliniuliza nimwambie mshahara wa weo ii ni kiasi gani na kazi ipi ina maslahi kwake, za binafsi au serikalini? Msaaaaaaaaaaada......
dbrane hongera kwa kupata kazi. Siku nyingine uwe mkweli, sawa?
 
Last edited by a moderator:

MR.LEO

Senior Member
Jun 10, 2012
129
0
Hakuna mtumishi wa serikali mwenye shahada anayelipwa Basic Salary ya 425150.
 
Godwin Mneng'ene

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
215
0
aende akafanya kazi ya u weo,
Ma WEO ni watu wakubwa sana kwenye kata wao ndio wasimamizi wa shughuli zote za maendeleo katika kata yao
WEO's wanabajeti zao na akaunti benki ambayo yeye ni mmoja wa watia saini.
ma WEo wanaviposhoposho vingi sana pia wanashirikishwa sana na NGO's zinazofanya kazi kwenye kata zao.
pia ma WEO wengi wanachaji pesa za kugonga mihuri za barua za utambulisho mf benki.
Pia ukiwa WEO unaweza baadae ukahamishiwa ofisi kuu ya halmashauri kufanya kazi nyingine inayoendana na elimu yako nimeshuhudia maweo wamebadilishwa kuwa maafisa utumishi na hata maafisa mipango huko halmashauri.
Pia WEo hufi njaa utajulikana sana kwenye kata yako, ma weo wanakuwa na marafiki wengi sana kutokana na kazi zao
za kijamii.
Mwambie huyo ndg yako achague utumishi wa umma, kwa kuanzia ni dili sana hatajuta kabisa hapo baadae
 
Godwin Mneng'ene

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
215
0
WEO = ward executive officer kama nimekosea watarekebisha

hujakosea kabisa ndugu yangu hawa wapo tanzania nzima kwenye kata zote lazima kuwa na mtu mwenye cheo hichi.
Chin ya hawa watu ndio kunakuja watu wanaoitwa MEO na VEO.
MEO ni Mitaa Executive Officer hawa wanapatikana kwenye halmashauri za Majiji na Manispaa zote
VEO ni Village Executive Officer hawa wanapatikana kwenye halmashauri za wilaya ambapo kuna vijiji
kwenye majiji na manispaa hakuna vijiji kuna mitaa
Hawa ndio watumishi wa umma walioko kwenye level ya chini na wananchi
 
obeid666

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
1,279
0
aende akafanya kazi ya u weo,
Ma WEO ni watu wakubwa sana kwenye kata wao ndio wasimamizi wa shughuli zote za maendeleo katika kata yao
WEO's wanabajeti zao na akaunti benki ambayo yeye ni mmoja wa watia saini.
ma WEo wanaviposhoposho vingi sana pia wanashirikishwa sana na NGO's zinazofanya kazi kwenye kata zao.
pia ma WEO wengi wanachaji pesa za kugonga mihuri za barua za utambulisho mf benki.
Pia ukiwa WEO unaweza baadae ukahamishiwa ofisi kuu ya halmashauri kufanya kazi nyingine inayoendana na elimu yako nimeshuhudia maweo wamebadilishwa kuwa maafisa utumishi na hata maafisa mipango huko halmashauri.
Pia WEo hufi njaa utajulikana sana kwenye kata yako, ma weo wanakuwa na marafiki wengi sana kutokana na kazi zao
za kijamii.
Mwambie huyo ndg yako achague utumishi wa umma, kwa kuanzia ni dili sana hatajuta kabisa hapo baadae
Kama kukushauri serikalini security ni nzuri sana ila hiyo ya Swiss nafikiri ni nzuri sababu huku Serikalini itategemea umepangiwa wapi unawezapelekwa kijijini ambako hiyo Kata iko kijijini kabisa na siku hizi Madiwani wengi hawana kisomo halafu ni kazi za majungu sana wanaweza wakakuazimia ufukuzwe kazi na mtu ambaye hakwenda hata shule anakuazimia wewe mwenye digree ss chagua lakini ili ufanye kazi kwa amani chagua kazi nyingine WEO si kazi nzuri
 
LUKOKA D

Member
Nov 23, 2011
6
0
Kama kukushauri serikalini
security ni nzuri sana ila hiyo ya Swiss nafikiri ni nzuri sababu huku
Serikalini itategemea umepangiwa wapi unawezapelekwa kijijini ambako
hiyo Kata iko kijijini kabisa na siku hizi Madiwani wengi hawana kisomo
halafu ni kazi za majungu sana wanaweza wakakuazimia ufukuzwe kazi na
mtu ambaye hakwenda hata shule anakuazimia wewe mwenye digree ss chagua
lakini ili ufanye kazi kwa amani chagua kazi nyingine WEO si kazi
nzuri

usimdanganye mwenzio wew,kama kaz ya serkal co nzr ipi nzur?kwenye mashrika? hakuna kaz nzur km za serkaln zen km ya weo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom