Nafasi ya kazi Iringa mjini-haraka!

jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2008
Messages
153
Points
195
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined Mar 13, 2008
153 195
Tunashughulika na kazi za CARE AND TREATMENT(CTC) Iringa Mjini.Tunahitaji Mtaalamu wa Madawa ie Pharmaceutical Technitian mwenye uzoefu wa kazi ya utoaji dawa si chini ya miaka miwili.Nafasi hii inatakiwa ijazwe Haraka kabla ya Dec 2012.Mshahara ni Mzuri . Email: jacquiline2009@yahoo.com
 
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Messages
1,260
Points
1,225
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2009
1,260 1,225

vipi jimjamtz, hamuhitaji nutritionist? nipo hapa
 
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2008
Messages
153
Points
195
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined Mar 13, 2008
153 195
vipi jimjamtz, hamuhitaji nutritionist? nipo hapa
Nutritionist will be needed in future.Unaweza kutuma CV,in case ikitokea naitanguliza coz najua waliopo humu ni wahitaji na vijana wachacharikaji.
 
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2008
Messages
153
Points
195
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined Mar 13, 2008
153 195
Kama ni Nurse nakushauri uandike tuu application,nitaipeleka Admin kuna uwezekano wa application Letter kumvutia mwajiri na hatimae ukaitwa.Hii hutokea mara nyingi sana kwenye ajira za FBO
 
M

mshewa2

Member
Joined
Oct 30, 2012
Messages
75
Points
95
M

mshewa2

Member
Joined Oct 30, 2012
75 95
Tunashughulika na kazi za CARE AND TREATMENT(CTC) Iringa Mjini.Tunahitaji Mtaalamu wa Madawa ie Pharmaceutical Technitian mwenye uzoefu wa kazi ya utoaji dawa si chini ya miaka miwili.Nafasi hii inatakiwa ijazwe Haraka kabla ya Dec 2012.Mshahara ni Mzuri . Email: jacquiline2009@yahoo.com
pharmasist hamhitaji?I mean mwenye bachelor?
 
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2008
Messages
153
Points
195
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined Mar 13, 2008
153 195
Pharmacist mkubwa sana kwenye CTC,naona kumlipa Tech na Phamacist itakuwa gharama kubwa sana.But BWM Foundation wanahitaji Pharmacist kwa wingi sana Mkuu!!
 
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2008
Messages
153
Points
195
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined Mar 13, 2008
153 195
Muda umebakia siku 5 ili usaili ufanyike na kazi kuanza kufanyika kuanzia tarehe 15Dec2012..kama kuna mtu mwenye kuhitaji nafasi hii sio lazima kutuma Vyeti.Just put your contact kwenye Email iliyotajwa na utatafutwa kwa hiyo Contact.
 
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Messages
1,260
Points
1,225
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2009
1,260 1,225
Tunashughulika na kazi za CARE AND TREATMENT(CTC) Iringa Mjini.Tunahitaji Mtaalamu wa Madawa ie Pharmaceutical Technitian mwenye uzoefu wa kazi ya utoaji dawa si chini ya miaka miwili.Nafasi hii inatakiwa ijazwe Haraka kabla ya Dec 2012.Mshahara ni Mzuri . Email: jacquiline2009@yahoo.com
Nimeshatuma CV yangu mdada eeeh, naomba unikumbuke kwenye ufalme huo, nami nitakukumbuka na kukuombea sana
 
P

publichealth

New Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
3
Points
0
P

publichealth

New Member
Joined Jan 4, 2012
3 0
Vipi na public health officer and Lab technologist hamuhitaji.....
 
L

LUKOKA D

Member
Joined
Nov 23, 2011
Messages
6
Points
0
L

LUKOKA D

Member
Joined Nov 23, 2011
6 0
Tunashughulika na kazi za
CARE AND TREATMENT(CTC) Iringa Mjini.Tunahitaji Mtaalamu wa Madawa ie
Pharmaceutical Technitian mwenye uzoefu wa kazi ya utoaji dawa si chini
ya miaka miwili.Nafasi hii inatakiwa ijazwe Haraka kabla ya Dec
2012.Mshahara ni Mzuri . Email:
jacquiline2009@yahoo.com
community development officer hakuna nafasi hapo?
 
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2008
Messages
153
Points
195
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined Mar 13, 2008
153 195
LUKOKA D Nisikudanganye ila,ila Ingia ofisi za Jamaa wa Jhpiego ongea nao kijasiri naona kama yaweza kujibu! just try LUKOKA
 
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2008
Messages
153
Points
195
jimjamtz

jimjamtz

Senior Member
Joined Mar 13, 2008
153 195
Nashukuru Sana kwa wote ambao walichangamkia hii nafasi,Leo ndio tunafunga hili tangazo baada ya muda kwisha na kupatikana vijana wawili wanaohusiana na taaluma ya Pharmacy vide hili tangazo.Pia wote ambao walituma CV zao watambue kuwa wamejaribu maana ikitokea nafasi for sure tutawatumia Emails. Stay blessed.
 
kapolo

kapolo

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
287
Points
195
kapolo

kapolo

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
287 195
Ntatuma CV mie nimesoma ni Project planner na pia Project manager.
 
kiri12

kiri12

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
269
Points
225
kiri12

kiri12

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
269 225
Leo ni Dec 2015,, bado tu mnahitaji kazi ya miaka mitatu nyuma looh
 
KATASAN'KAZA

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Messages
2,846
Points
2,000
KATASAN'KAZA

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2013
2,846 2,000
Mimi siitaji kazi ya hivi...
 
Forum statistics

Threads 1,296,632
Members 498,713
Posts 31,254,365
Top