Maisha ya ndoa hayana darasa wala kidato,elimu sio kuishi,hakuna uhusiano kati ya maisha ya ndoa na elimu dunia...kikubwa Anglia umempenda?hayo mengine baadae..
Mtumwa gani wa Mungu unafanya mapenzi nje ya ndoa? Tena unavaa na condom kabisa haujui kua UNAUA...mwache asome utume wako kaufanyie kwa watumwa wenzako sio mwanafunzi...
Kimbia vunjika miguu umekutana na msukule sio MTU... huyo ni wazi anamtu zaidi ya mmoja...... mwalimu wenyewe ndo yuko hivo hao watoto anaowafundisha si ndo watakua matahira..
Kaka ulitengeneza mazingira yakusalitiw pia ulifanya haraka kukimbilia kuachana bila kutuliza moyo nahisi ulitawaliwa na maamuzu ya jazba ,umeacha wewe kuumia umeumia wewe..chakujifunza wkti mwingine ukipenda uwe committed kwenye mahusiano yako...yaliyopita yamepita jipange kwa maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.