Recent content by Lukinga 01

  1. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nina kibamia

    Ushauri wa ukweli tafuta bikra.
  2. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

    Mama kama unapitaga humu please nisaidie hata milioni nichukulie mbolea maana shamba linanisuta sijaweka mbolea ya mwisho.
  3. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Mungu akubariki ili mmeo akuthamini sana. Unaonekana unauwezo mkubwa wa kufikiri.
  4. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla Mzee wa makala za "Kwa maslahi ya Taifa", mbona uko kimya bei ya sembe imefika 1,800/- kwa kilo

    Paskali kama P toka aitwe na kamati ya bunge kipindi cha mwenda zake amekuwa patupu kweli kweli kiasi cha mimi kuamini kuwa labda aliporwa accounti zaķe za mitandao.
  5. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Twaha Mwaipaya yaahirishwa baada ya IGP na wenzake kuingia Mitini

    Naunga mkono hoja. Ingekuwa Mungu hayupo Magufuri angekuwa hai mpaka leo.
  6. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya ujasusi: Do not shout (Usipige kelele)

    Mh! Kali kinouma!
  7. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais kuhusu mahindi yanayosafirishwa nje ya nchi

    Umejibu kiusahihi sana.
  8. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele

    Umewaza kama nilivyowaza juzi juzi hapo mkuu.
  9. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais kuhusu mahindi yanayosafirishwa nje ya nchi

    Hata mimi naunga mkonyo hoja. Tusiwe waongo kama vp serikali izuie mahindi yasitoke nje, kwani hata watumishi wa Mungu walisha tutangazia khs onyo la Mungu la uwepo wa njaa. Kuna mtumishi wa Mungu kutoka Zambia aitwaye Rachael Abigael Mushala Chisuro alishasema kitambo. Niwausie wana jf wenzangu...
  10. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Ni Mungu au?

    Jibu ni kwamba hakuwa Mungu ila ilikuwa ni miungu.
  11. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

    Ndugu yangu ukisikia malkia wa pwani ndio muonekano huo. Manabii feki yaani chui waliovaa ngozi ya kondoo ndiko wanakopata nguvu za miujiza kwa viumbe hao. We wachukulie poa lkn siku ukitaka kuwa nabii wa uongo kama TB Joshua au Mwamposa utakuja ukutane na viumbe kama hao. Na stori za kulala nao...
  12. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

    Ndugu yangu ukisikia malkia wa pwani ndio muonekano huo. Manabii feki yaani chui waliovaa ngozi ya kondoo ndiko wanakopata nguvu za miujiza kwa viumbe hao. We wachukulie poa lkn siku ukitaka kuwa nabii wa uongo kama TB Joshua au Mwamposa utakuja ukutane na viumbe kama hao. Na stori za kulala nao...
  13. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

    Hivo viumbe kweli kabisa vipo. Ila usivichukulie kama samaki wa kawaida, hao ni jamii ya majini na wanahusiana sana kimikataba na binadamu katka kuwawezesha kupata utàjiri, uongozi na hata upako na nguvu za miujiza kwa viongozi wa kiroho hasa hawa wanaoitwa manabii feki.
  14. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Afilisiwa kiwanja na nyumba kisha kukatwa mkono kisa madeni ya vikoba vya mke wake

    Kwani sheria inasemaje hapo?
  15. Lukinga 01

    JamiiForums Tanzania Ernest Komba baada ya kupigwa na mke wake, aanzisha chama cha wanaume wanaoteswa majumbani

    Jamaa kakamavu kama lijeda kumbe patupu!
Back
Top Bottom