Msaada tafadhali: Nina kibamia

Msaada tafadhali: Nina kibamia

IMG_5617.jpg
 
Salama wakuu

Ni hivi, umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhishi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked.

Sasa baada ya kutembelea Instagram muda mrefu na kukutana na matangazo ya kukuza mshedede nimevutiwa sana nikaona sio mbaya niagize. Lakini kabla ya kuagiza nikaona ni bora niwashirikishe watu wangu wa familia ya JF huenda wakanishauri zaidi au kunielekeza dawa nzuri ili nipunguze kujinyanyapaa

Natanguliza shukran

mi niko na inch mbiliNishaacha izo habar za kutafuta dawa,,,,
Ninapata mademu wazuri kuliko wenye nch6Maisha n ya ajabu sana
 
Wewe ukishamwaga habari ya kibamia atajua yeye,mimi nina nchi 3 na nusu ila sijawahi kuwaza kuongeza maumbile.Hawa wanawake wa bongofleva hata uwe na nchi 45 bado watahitaji uongeze nchi 6 za ziada.Nasema wewe hakikisha unamwaga tu habari ya kibamia mwachie aliekuumba maana ukijikosoa utadhani ulijiumba wewe matokeo yake utatamani yale mambo ya upinde wa mvua
Kuna manzi aliniambia Ina kawaida ya kujifunga na kujifungua, yaan ukiingia mkulungu mkubwa sana inajifungua shimo linaongezeka ndio maana kabla ya kufunguliwa silidi mbo o inakua ngumu kupita, sasa wanapokutana na wanaume tofauti tofauti ndio inazidi kufunguka na kina kinaongezeka mwisho kinakua shimo refu Ila mwanzo wakati kuna kizibo bado hawajakata utepe kina kilikua kifupi

Samahani kwa kuangezea na hili nasikia muahsmwa rais anapitaga huku, alipita ataangazea na yeye
 
Back
Top Bottom