Big Yes!
How!? Iko hivi,
Mungu anamipango na makusudi kwa kila mtu. Hata watawala Mungu aliwapanga hata kabla ya kushika madaraka nao wakiwa hawajui lolote. Mamlaka zote za dunia hazikuingia mamlakani bila Mungu kujua, alijua sana, aliziona sana na anaujua mwisho wa kila utawala. Na kila...
Kufurahia au kutofurahia hakuondoi huo ukweli mkuu. Yapo makusudi kutoka kwa aliyemweka.
Israel walipoonesha kutaka ukombozi watoke Misri walianza kupokea mateso makubwa zaidi, walipata uchungu mkubwa hadi wakawaghadhabikia Musa na Haruni waliotumwa kuwakomboa lakini Mungu ni wa utaratibu, siku...
Naweza kumtetea kidogo kwa kuanza na swali;
Shetani ndiye baba wa uhalifu, mambo yake tunayaona. Je yupo katka hali gani, amebarikiwa au kalaaniwa au yote mawili!?
Yuko sahihi mkuu.
Warumi 13 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
² Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
I guess, Leejay you're the one, aren't you? 😜🙊 (Just kidding)
Anyway, kwakuwa uncle haambiliki, hakuna namna ya kumsaidia but nachowaomba yule dada msimtenge hata kama ataachwa solemba kuweni faraja yake.
Binafsi Simba nimewachunguza nikagundua wanafungika kwa urahisi sana hasa dakika za mwanzo na za lala salama.
Simba sio hatari kivile.
Hawatachomoka kwa RSB.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.