Mbinu na uchambuzi kuhusu RS Berkane

Mbinu na uchambuzi kuhusu RS Berkane

Binafsi Simba nimewachunguza nikagundua wanafungika kwa urahisi sana hasa dakika za mwanzo na za lala salama.
Simba sio hatari kivile.
Hawatachomoka kwa RSB.
 
Jana niliwafatilia RS Berkane katika mechi yao ya Ligi Kuu ( Botola Pro ) vs Maghreb Fez , nilipata angalau 50% ya kufanya tactical analysis

✍🏻RS Berkane wapo well oiled machine
✍🏻Utimamu wa mwili & Energy ya kutosha ( hasa hasa katika electric counter attacks and possession ball )
✍🏻Ruthless ( wakatili sana golini )
✍🏻Wafanisi sana kiwanjani : RS Berkane wale FBs zao wanapelekea role to the next level

1: Pia kuna nyakati kocha wao alikuwa anatupa watazamaji kuifundi kuwa fullbacks kuwa midfielders plus muundo mzuri wa ulinzi ( Better rest defense )

2: Kitu nilichopenda zaidi ni kuwa wana wastani mzuri wa kufunga bao kwa kila mechi , yani kila mechi wanaweza kupata goli 2 hadi 3 lakini sio mechi zote lakini 89% wamepata magoli mengj katika mechi zao

3: Simba ni mzuri katika possession ball ( hasa hasa katika one touch football ) , wale RS Berkane wana making ya chini sana katika actions hiyo na hufanya sana faulo katika maeneo hatari karibu na boksi lao ( fursa mzuri kwa Simba : ball striking and set pieces )

Kuelekea mechi ya fainali ya Shirikisho Afrika , Simba SC inatakiwa kuwa makini zaidi kwasababu RS Berkane ni katili sana kwa opponent wake ( na haileti picha kuwa RS Berkane hawatokuwa makini dhidi ya Simba SC)

Football haina guarantee , yoyote anaweza kupata matokeo chanya uwanjani lakini ikiwa Simba atakuwa sloppy na hana energy ya kutosha ( Physical ) , kwake itakuwa kila la kheri na anaweza kuokota hata 2 , 3 , 4 easily .
Simwamini Chamalon hata kidogo, Dogo yule aliyeshika namba yake Yuko Bora sana
 
Jezi zao tunazipataje?
 
Back
Top Bottom