Naiomba selikali ifunge na nywele bandia kwani madhala afadhali hata rambo kwanza zinachafua mazingira na haziozi pia hufunga miguu ya kuku na ndege wengine kama kunguru nasamaki ziwani
Binafsi naiomba selikali ifunge nywele hizi kwani haziozi na zinaharibu mazingira has a kwa upnde wa ndege kama kunguru kuku njiwa na ndege wengine wanao tembea chini kwani hufungwa miguu hali inayo pelekea kukatika miguu hususan viumbe wa majini nao najuwa wanachangamoto zao ju ya hili.
Mimi nichinga wa wamitumba. malanyingi hununua mitumba kwa kusoti bidhaamojamoja yan kuchuz. na nimekuwa niki mix bidha sasa naona faida kama ni kidogo sana nawaza kununua balo zima ila najiuliza ninunue balo gani yenye kunipa faida na kuisha kwa wakati?? kwa walio naudhoefu na biashala hii...
Mimi ni chinga wa wamitumba. Mara nyingi hununua mitumba kwa kusoti bidhaa mojamoja yaani kuchuzi na nimekuwa niki mix bidha
Sasa naona faida kama ni kidogo sana nawaza kununua balo zima ila najiuliza ninunue balo gani lenye kunipa faida na kuisha kwa wakati?
Kwa walio na uzoefu na biashala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.