Lengo la mama ni zuri lakufanya bandari yetu ifanye kazi kwa manufaa ya watanzania wote na sisi wanainchi wakawaida tunaomba wale wenye profetiona zao za sheria washirikishwe kwa kiwango kikubwa kuepusha sintofahamu iliyotanda.
Mm mpaka sasa nawadai 2k waliniambia nijaze online nikajaza hakuna feedback yeyote mpaka leo chakushangaza zaidi sim hawapokei ata ukituma whatsap hawajibu kitu
Watu waache nadharia zisizo na maana yeyote mungu akiamua kuvuna shambani mwake anafanya kwa wakati wake na mazingra yeyote na hakuna mwanadamu ambaye hataonja mauti R.I.P BM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.