Recent content by luis hinju

  1. L

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Ndiyo matumaini yetu wana ccm ni ushindi nilishaapa siwezi ongozwa na mwizi yule ndiye katuchafulia chama then katusaliti nje ya ushindi wa ccm nikuhama nchi siwezi ni unafiki mkubwa katufanyia yule mtu kwakweli
  2. L

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Ndiyo matumaini yetu wana ccn
  3. L

    JamiiForums Tanzania John Magufuli ni mweupe kwelikweli, sijui huo urais aliwaza nini kugombea!

    Samahani kidogo ifahamike ya kuwa tanzania ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wana dini tofauti tofauti niseme mm ni mkrisro ktk suala la utawala maamuzi magumu ni muhimu kwangu magufuri yupo sahihi zaidi tazama Yesu wa nazareti alipofika jerusalum alikuta watu wakifanya biashara ktk...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Pole sana mkuu Nape Mungu yu pamoja nasi daima tutazidi kukuombea nenda kapige kazi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

    Poa mdau
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Pole sana wangu lakin kama ulivyojieleza kuwa wajiona ni mzuri sana tu ukweli ni kwamba kwakua umejijua kuwa ww ni mzuri sana basi hilo nalo ni tatizo tosha la kukufanya uachwe na utaachwa sana kwakuwa ww si yule mwanamke wa kuolewa bali ni wa starehe
  7. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yazidi kung'ara

    taratibu ndiyo mwendo
Back
Top Bottom