Recent content by luis diaz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kukosa nguvu za kiume

    Sawa mkuu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kukosa nguvu za kiume

    Nitafanya hvy na nitakurudia kaka
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kukosa nguvu za kiume

    Habari wakuu naomba msaada tafadhari nina kama mwezi mmoja sasa nakosa hamu ya tendo pia jogoo hawiki kabisaa naomba mtu mwenye kujua dawa ya uhakika anisaidie tafadhari hali yangu sio nzuri naona aibu kwa mtubwangu
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Link ya game wadau
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Credit Note?

    Habari ndugu, Naomba kujua maana ya terminology hio CREDIT NOTE inatumika sana upande wa manunuzi procurement. Naomba mwenye kujua anijuze tafadhari
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    vp jamani tunachezaje leo wengine hatuangalii
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    arthul melo middle kiseti ivi huyo jamaa yupo anakula hela za bure hata mechi moja hajacheza 😄😄😄,,ila klop alitupiga hapo
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nissan juke 2011

    pamoja sana
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nissan juke 2011

    yaah ni ndogo ila kwa sasa nipo mimi na wife tu so kwa sasa naona itatosha
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nissan juke 2011

    shukrani mkuu
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nissan juke 2011

    ahsante kwa ushauri
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nissan juke 2011

  13. L

    JamiiForums Tanzania Nissan juke 2011

    Habari zenu Kampuni yetu inatoa mkopo wa magari ni gari aina moja tu nissan juke naomba nijue changamoto zake nianze kujipanga mapema kabla sijachukua hili gari nasika watu wanayasema sana haya manissan, nikipata na mtu ambae anamiliki hili gari anipe habari zake nitashukusu sana.
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    :rolleyes: :rolleyes:
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani la fedheha/aibu ulishawahi kukutwa ukifanya ama na mtu mnayeheshimia sana au mtu yoyote?

    ilikua mwaka 2009 niko secondary kipindi hicho nilikua sipendi shule sana na nilikua nasoma day school asubuhi nilikua najuvuta sana kwenda shule ili mzee ajiandae aende kazini mimi nibaki nyumbani sasa siku hio mzee akachelea kwenda kazini mimi nikazuga kama najiandaa ili niende ile kaingia...
Back
Top Bottom