Nissan juke 2011

luis diaz

Member
Feb 28, 2022
81
193
Habari zenu

Kampuni yetu inatoa mkopo wa magari ni gari aina moja tu nissan juke naomba nijue changamoto zake nianze kujipanga mapema kabla sijachukua hili gari nasika watu wanayasema sana haya manissan, nikipata na mtu ambae anamiliki hili gari anipe habari zake nitashukusu sana.
 
Kwani tatizo la gari ni lipi? Tatizo huwaga mmiliki. Gari ni kama mtoto. Usipolijali na kulihudumia,usitegemee kulifurahia. Kikubwa utambuwe kuwa gari linahitaji pesa kwanza. Kama una hela ya mboga tu,gari achana nalo. Kama unapiga madeal ya maana, nunua lolote. Ila,kwa ushauli zaidi,Toyota ni bora kwa matunzo ya kawaida na upatikanaji wa spea
 
Attachments

  • 0f700e15be81719d0fa72897976095d8.jpg
    0f700e15be81719d0fa72897976095d8.jpg
    116.7 KB · Views: 34
Kwani tatizo la gari ni lipi? Tatizo huwaga mmiliki. Gari ni kama mtoto. Usipolijali na kulihudumia,usitegemee kulifurahia. Kikubwa utambuwe kuwa gari linahitaji pesa kwanza. Kama una hela ya mboga tu,gari achana nalo. Kama unapiga madeal ya maana, nunua lolote. Ila,kwa ushauli zaidi,Toyota ni bora kwa matunzo ya kawaida na upatikanaji wa spea
ahsante kwa ushauri
 
Hamna gari ambalo halina changamoto,we nunua enjoy maisha
Changamoto za gari ni mafundi mkuu. Karibia wote ni waongo,na kwa sababu anajua ukija utaacha hela, basi wengi watakuhangaisha. Nina ki RAV4 changu, mwaka wa 2 sasa,nadeal na sevisi na vitu vidogo vidogo tu. Na kamwe usiachie fundi gari,peke yake. Hili si rahisi,lakini utaumia. Tatizo kumpata anaeiba kidogo
 
Gari nzuri na ina sifa zote za Nissan, tatizo size ndogo kwa watu wenye familia
 
Changamoto za gari ni mafundi mkuu. Karibia wote ni waongo,na kwa sababu anajua ukija utaacha hela, basi wengi watakuhangaisha. Nina ki RAV4 changu, mwaka wa 2 sasa,nadeal na sevisi na vitu vidogo vidogo tu. Na kamwe usiachie fundi gari,peke yake. Hili si rahisi,lakini utaumia. Tatizo kumpata anaeiba kidogo
shukrani mkuu
 
Mafundi wa vichochoroni miyeyusho
 
Back
Top Bottom