Recent content by Luigi Alfred

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ni kero kubwa sana kwangu mtu kuongea na mimi huku ananigusa au kunisukuma...

    Wapo tena wengi hasa walevi wa pombe.Mtu anajua wazi maongezi yake ni upupu lakini analazimisha umsikilize.Mimi huwa natengeneza dharula na kuondoka!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je mayai ya nyoka yakiwa fresh yanafaa Kwa kitoweo?

    Kwa kawaida mayai ya nyoka hayafai kuliwa kwa matumizi ya chakula kwa sababu: 🐍 Hupatikana kwa nadra sana – nyoka si wanyama wa kufugwa kwa kawaida, hivyo mayai yao si ya kibiashara. ⚠️ Usalama wa kiafya – mayai ya nyoka yanaweza kubeba vimelea au sumu, na hakuna utafiti wa kutosha...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    Kafir ni nani mpendwa? Hujui kuwa unàmtukana Muumba kwa kuwaita viumbe wake MAKAFIR tunajua kuwa alimuumba mwanadamu kwa mfano wake.Binafsi nakuombea ubadirike Tanzania ni yetu sote.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wajuaji wawili wa Afrika Mashariki watema Bungo la CAF, ila kwa Sisi Waganda (Uganda Cranes) kesho ni mwendo mdundo hadi Fainali na Ubingwa

    Ahsante Uganda.Kufungwa goli moja isiwavunje moyo.ALUTA CONTINUA. Japo EA tumeumia.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wajuaji wawili wa Afrika Mashariki watema Bungo la CAF, ila kwa Sisi Waganda (Uganda Cranes) kesho ni mwendo mdundo hadi Fainali na Ubingwa

    Mwenye akili timamu anamuombea Mganda ashinde dhidi ya Senegal ili kuondoa aibu kwa nchi za EA ambao ni wenyeji wa mashindano
  6. L

    JamiiForums Tanzania Makelele ya muziki katika makazi ya watu bomu linalosubiri kulipuka

    *MUHIMU SANA KWA WANANCHI WOTE WA KATA KASHARU. KUMEZUKA TABIA NAMIENENDO YA KUPIGA MIZIKI MCHANA KUTWA NA USIKU KUCHA KILA SIKU VIJIJINI MWETU. TUISOME HII TUIELEWE NA KUCHUKUA HATUA. Nchini Tanzania kuna sheria inayozuia mtu au watu kusababisha kelele za usumbufu kwa wengine*. Kisheria...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Makelele ya muziki katika makazi ya watu bomu linalosubiri kulipuka

    Huu ujumbe uifikie taasisi yenye dhamana ya kuhifadhi mazingira. Sio siri kwa Mtanzania wa kawaida anakerwa na baadhi ya RAIA hasa maeneo ya vijijini kufungulia hoofer za kichina sauti za juu hadi kero. Maendeleo yana gharama zake nyingine ni hasi. Serikali imesambaza umeme vijijini ili watu...
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Mama mkwe mtarajiwa ananitaka kimapenzi na amenichumu jana, tena kanionesha paja lake lilivyonona anadai nitafaidi"

    Familia ya hivyo hakuna future ya ndoa. Kumbuka mtoto wa nyoka ni nyoka.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nina mafua na kichomi kimebana, nani anajua dawa?

    Wahi Hospital! Hizi dalili kama za COVID japo mwenye kudhibitisha ni Daktari.
  10. L

    JamiiForums Tanzania BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

    Hapana. Rejea maana ya kanisa kwenye kamusi sambamba na jumuia ya Freemason.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanamiliki asilimia 55 ya utajiri wa dunia huku waislamu wakiwa na 5.8, wahindu 3.3, wayahudi 1.1 na wengineo 34.8

    Hapa ni wazi kuwa ma billionaire wengi ni Wayahudi ukilinganisha na Idadi yao globally.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwanya in english unaitwaje?

    Angalia neno diastema kwenye dictionary
  13. L

    JamiiForums Tanzania TBT: Cheche alizotema Hayati Magufuli Bungeni kwa watu walijenga kwenye eneo la hifadhi ya barabara

    Tatizo watu wa design hii sio rahisi kudumu kwenye uongozi. Kipindi fulani kuna Waziri fulani aliamuru samaki wa kitoweo kilicholetwa canteen ya bunge wapimwe kwa ruler. Nadhani huyu Bwana angeendelea kushikilia Wizara husika sasa hivi Tanzania tungekuwa mbali
  14. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kuchimba madini ya Almasi

    Namba ya simu tafadhali. +255627592664 WhatsApp
  15. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kuchimba madini ya Almasi

    Wadau Salaam. Shida yangu natafuta mdau mwenye ujuzi wa kuchimba almasi nitafute inbox WhatsApp
Back
Top Bottom