Shule zimefunguliwa takribani siku Nne Hadi Sasa na kwa uhakika wanafunzi wa Kidato Cha kwanza Wana miminika mashuleni.
Uhakika uliopo ni kuwa wote wanakuja kuanza mtaala ulioboresha (alimaarufu mtaala mpay)
Pasipo kupinga mtaala ulioboreshwa umelenga kupunguza changamoto za mwanafunzi...
Naweza nisiwe na maneno mengi sana, japo nawaombeni muangalie Star Tv kwenye kipindi cha AJENDA 2020. Yuko anajaribu kusemea utekelezaji wa kazi zake jimboni kwake Arumeru.
Ukweli simfahamu sana, ila leo nimefurahi sana, kwa majibu mazuri na yasiyo ya kiitikadi. Ni majibu ya utetezi wa...
Kinacho nishangaza, ni wingi wa details za mgonjwa, kutoka kwa huyo daktar/muuguzi/mtoa taarifa wako asiye na maadili ya kazi pia.
Anyway, atapona kama yupo. Maana ugonjwa hauchagui vyeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajatamani mtu wake afe hata mmoja, alisema hali halisi na kutusihi tusitishike tukashindwa hata kufanya kazi.
Ndiyo maana kasema 'tuchape kazk' huku tukichukua 'tahadhari zote'. Tuweni waungwana kwa taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani, umemtafuta kambi zote ukamkosa, kumbe nawe umekurupuka tu baada ya kuona thread.
Tafadhali, kuweni serious na gonjwa hili, achane usiasa siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau,
Naandika kiasi kidogo tu, kusemea kile ninacho kiona dhidi ya utekelezaji wa agizo la kunawa ama kuwa na maji ya kunawa katika maeneo yenye misongamano mfano, stendi za magari nk.
Nipo hapa Msamvu, Kituo kikuu cha magari ya mikoani. Ukweli nawapongeza wamiliki wa magari kwa...
Ushauri wangh ni kwa wachangiaji wa thread hii tu.
.
.
.
Niaminisheni si wakereketwa wa chama chochote.
Maana yangu ni kuepusha kujibu majambo ukiwa na mlengo fulani.
Baada ya angalizo hilo, jivisheni viatu vya kama ingalikuwa ni ndani ya chama lako, je? yangaliishia hivyohivyo?
Asanteni...
Natafakari tu,
He? Unatafuta wingi wa masomo ama ubora wa kinacho zalishwa ama vyote viwili?
Inawezekana uko sahihi mahala, lakini nilitamani pia 'utuaminishe kwa kontenti za kozi husika (sambamba na vimeng'enywa) vilivyo ndani ya kila somo.
Zaidi usiandike kwa mihemuko, lazima tujifunze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.