Ndg. Mhe. Mbunge Gibson nimekuamini

Luhungu

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
816
232
Naweza nisiwe na maneno mengi sana, japo nawaombeni muangalie Star Tv kwenye kipindi cha AJENDA 2020. Yuko anajaribu kusemea utekelezaji wa kazi zake jimboni kwake Arumeru.

Ukweli simfahamu sana, ila leo nimefurahi sana, kwa majibu mazuri na yasiyo ya kiitikadi. Ni majibu ya utetezi wa wananchi wake.

anajibu kwa weledi na ni kiongozi na mwenye uwezo mkubwa sana.

Mnisamehe naweza nisiwe nimeleta mada nzuri lakini, piteni huko sasa.
Asanteni. Napita tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia kipindi hicho,Mbunge ameonyesha uwezo mkubwa wa kujibu maswali na staha tofauti na huyo jamaa aliyeko studio,ambaye alionekana kukamia na kupanic.
 
Umerukia ukidhani huyo mbunge ni wa ccm. Kwa taarifa yako ni mbunge wa cdm, alikuwa anatoa maelezo ya alichokifanya kupitia Star TV.
Nimejikuta nacheka mwenyewe, nikawaida yetu kukurupuka kabla ya kutafakari.
 
Back
Top Bottom