Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Huku Africa wagonjwa wa aina hiyo ni wengi tu... Tuache utani huu ugonjwa ukihit hard nchi yoyote mtatafutana.Alikuwa mgonjwa wa kisukari kwa muda mrefu na alishakatwa miguu. Corona imesingiziwa. Mabele naye alikuwa mgonjwa wa kiharusi alikuwa amelazwa miaka 5 halafu bado Corona ikasimngiziwa ndio imemuua tena Mwanaye ndio karopoka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app