Recent content by Luhomano

  1. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

    Dogo apite tu bila kupingwa
  2. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Athari za matumizi ya orodha (multiplication table) katika madaftari ya wanafunzi shuleni

    Kampe hizo hesabu za kuzidisha advance uone anajbu vipi calculator zilisha wavuluga. Kwahyo madogo waachwe na hizo table wakishazoea wanaacha automatically
  3. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

    Wakulima Walime, Watanzania tule kwani Kenya tu ndo wanamatumbo peke Yao?.. Viongozi wetu sio wajinga na sisi Watanzania tupunguze uoga, changamoto kidogo tu mshaanza kupost Mabandiko, Kama hawanunui wao tutauza kwingine watakapo hitaji, ikishindikana tuuziane humuhumu Maisha yaendelee mi hua...
  4. Luhomano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aishi Manula kwanini lakini?

    Manula analaumiwa bure we beki zetu badala ya kuwaguard washambuliaji wa timu pinzani wasimsumbue golikipa wao ndio kwanza wanamwacha anapambana pekee yake
  5. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Watu na nchi yao

    Tgo
  6. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ajira mpya

    Shukran wakuu nimewapata
  7. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ajira mpya

    Shukran
  8. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ajira mpya

    Wakuu habari ya jumapili Nina mdogo wangu kasoma kozi ya laboratory science and technology chuo cha ualimu Monduli ngazi ya diploma kahitimu mwaka Jana 2019 , sasa naomba kuuliza je anaweza kuomba ajira zilizotangazwa hapa juzi ukizingatia wao wanatambuliwa kama laboratory technicians na siyo...
  9. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Nyuki na Asali

    Nyuki huchukua muda gani kuingia kwenye mzinga mpya
  10. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

    Sasa kutakuwa hakuna umuhimu wa redio kama DW wataznguliwa
  11. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Laboratory Science and Technology

    [QUOTE="Mwl Evarist Mchele,Inaitwa laboratory science and technology, malengo ya serikali nadhani ni hao wahitimu wakatumike katika mashule kama lab technicians.
  12. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Laboratory Science and Technology

  13. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Laboratory Science and Technology

    Wakuu habari ya muda huu, Kuna hii Course ya Laboratory Science and Technology inayotolewa na vyuo vya ualimu kama Monduli teachers college, Kleruu pamoja na Tabora teachers college. Je, wahitimu wa hii course wameshawai ajiriwa katika shule binafsi au serikali tangu kuhitimu?
  14. Luhomano

    JamiiForums Tanzania Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

    Mwenye nacho anaongezewa, both team will score
Back
Top Bottom