Recent content by Lugumgya

  1. Lugumgya

    Tofauti ya Magufuli na Lissu kanda ya Kaskazini

    Ni bora kuwa Bar ukiiwazia haki katika Mungu, kuliko kuwa Kanisani ukiiwazia dhuluma na ukandamizaji. Kwangu Mimi ni bora mpagani anayepigania haki, kuliko Shemasi anaonea waumini!
  2. Lugumgya

    Siku ya Ngekewa

    Hakika ilikuwa siku ya Ngekewa kwako Mkuu. Hahahahah!
  3. Lugumgya

    Siku ya Ngekewa

    JF mpooooooooo! Karibuni katika *Siku ya Ngekewa*. Siku ya Ngekewa ni siku ambayo huwezi kuisahau katika maisha yako. Siku ambayo ilikuwa ya neema kwako. The day of beating the odds! Bila kutarajia ukajikuta unapata ufumbuzi wa jambo ambalo lilikuwa gumu kwako, unapata wepesi. Yaani jambo...
  4. Lugumgya

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Nitachezea tofali Mkuu d_avid
  5. Lugumgya

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Mkuu@chriskiddy we acha tu. Mi mwenyew nimemiss madini yenu. Hawa mods roho mbaya Sana. Saiv JF kumedoda sana, haichechemui kabisa aisee
  6. Lugumgya

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Discipline Master alituchukua mimi (HP) na Head Girl (HG) akasema ameskia tunataka kuchochea mgomo. Akatuweka ofisini kwake, Mara akaondoka akasema anaenda kwenye kipindi tutaongea akirudi. Akatuamru tubaki mle mpka arudi. So yule HG alikuwa chakula yangu. Baada ya dk kama 20-25 hivi akasogeza...
  7. Lugumgya

    Wakaka mnakosea mnapodhani pesa ndo inayotuvutia kwenu

    Diamond asingekuwa na Pesa asingekukula mdogo wangu! Kabla ya kuwa diamond wa Sasa, usingethubutu hata kumtaja katika thread yako. Alivokuwa hana pesa mlimuita domo, wala hivyo vitatu ulivyovitaja nje ya pesa, hukuwa umeviona kwake. Baada ya kupata pesa, mkageuza jina la domo lake na mkaita...
  8. Lugumgya

    Wenzangu mnawezaje kuacha?

    Nakutabiria huyu Mtarajiwa wako, siku moja atakwambia huku kakubania pua" nataka kuolewa Gwele, hivyo nimeamua kusitisha mahusiano na wewe". Hapo ndo Emmy atakuwa anakuja katika ndoto zako mara 20 kwa siku.
  9. Lugumgya

    Kila kona ya nchi yetu, watanzania wanafurahia kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli katika Sekta ya Elimu

    Wewe uko Kona ipi Mkuu, na sisi tuhamie uko labda tutafurahi. Hii kona yetu huku ni huzuni na kilio. Tunamtamani hata Rungwe japo tuambulie Ubwabwa!
  10. Lugumgya

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Correct Score: Liverpool 0-1 Arsenal
  11. Lugumgya

    Kuna Mke na kuna Mwanamke

    Ni sahihi. Mfano usiku nimelala na mwanamke, lakini huwezi amini sijapata mke!
  12. Lugumgya

    Wadada acheni hii kitu

    Yeye: Mdau Mambo! Mimi: Poa! Mnaendeleaj Pande hizo mdau? Yeye: Tuko poa, ila huwez amini nimekumis balaa. Ninahamu na wew mpka genye zinakaribia kumwagika zenyewe! Mimi: Hahahahah, umefanya mguu wangu tatu ume[emoji123] Yeye: Kwani unarudi lini? Mimi: Ijumaa wikii ijayo mdau! Yeye: Poa mdau...
  13. Lugumgya

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa chama kimoja aweza muunga mkono mgombea urais wa chama kingine tofauti bila ridhaa ya Mkutano Mkuu wa chama chake?

    Hakuna shida. Mfano Mimi niko CCM lakn uchaguzi huu namuunga mkono Hashim Rungwe. #Ubwabwa#
  14. Lugumgya

    TANESCO Bagamoyo mnashindwa kutatua matatizo ya wateja huku mnaweka mazingira ya rushwa

    Lingine vipi kuhusu kubadilisha mita niweze kuwa najazia ndani niachane na kupanda, maana mita iko juu kama sipo mama anapata shida kuweka hadi aite mtu apande ndo aweke!
  15. Lugumgya

    TANESCO Bagamoyo mnashindwa kutatua matatizo ya wateja huku mnaweka mazingira ya rushwa

    Kibaya zaidi nina taa mbili za nje, taa za ndani, sinyooshi kila siku na kifrij, hizo unit 60 nazo najiuliza zinatumiwa na nani?
Back
Top Bottom