Recent content by Lugulu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam asiligawe Taifa katika kipindi hiki!

    Kama wewe in Mmorovian basi we in fotokopi yao... Umenichefua sana asee
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu huu ni ugonjwa gani

    Dudupori, umeweka vitu vitatu hapo, kwenye maelezo yako arovera, vitunguu swaumu na kingine hicho in nini?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ndiyo nakubali Magufuli anaweza kuikataa pensheni kama alivyoshusha mshahara wake toka 36 m,mpaka 9.5 tu

    Ntamsifu sana na kumweka kwenye kumbukumbu zangu... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo, KKKT ina mapungufu mengi irekebishe kwanza kabla ya kukimbilia siasa

    MaCCM hata kama yamesoma ila yanakuwa kama hawakusoma. Dini na sasa vinaenda pamoja, hata watoto wa kidato cha tank wanasoma kwenye GS. Serikali yenyewe inagwaya sembuse britanika wa Bukoba eti kisa unapewa elfu saba... Mkiambiwa ukweli jitafakarini na so kuangalia matatizo ya msemaji. Hata...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    Kwani amefariki kutaka historia ya mtu? Muuweni ili mpate historia yake...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya Kisarawe

    Mkuu bado yapo mashamba? Je ni umbali gani toka kwa barabara? Heka moja bei gani? Ni PM twongee...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa ufisadi ulioonyeshwa ktk Ripoti ya CAG, haishangazi Magufuli na Serikali yake kuwakamata, kuwatesa Wapinzani wake!

    Ukiona au kusikia mtu anamsema kila mtu ni mwizi, tia shaka juu yake manake yeye ndiye wa kuchungwa haswa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Nawaza kwa sauti tu wajameni, hizi pesa ndizo zimetumika kununua wabunge na madiwani pamoja na makada maarufu wa upinzani... Rejea ushahidi ulopelekwa TAKUKURU... Lkn pia kumbukeni ndege ni heshima.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mafuriko: Mama Tibaijuka adai hakukuwa na dhamira ya kisiasa kulinusuru bonde Msimbazi wakati yuko Ardhi

    Anajipendekeza tu kwa raia wa daslamu... Alitwambia hoo cjui Kigamboni ingekuwa mji wa kisasa kama mji mmoja huko Malaysia kumbe ilikuwa janja yake kukwapua na kujilimbikizia ardhi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la fisi mikoa ya usukumani

    Nyama ya fisi ni nzuri na tamu sana... Wawindeni nao mwatafune...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nina digrii naenda nyumbani na laki 2 bora nikalime

    Dogo, me nmeweka vyeti kabatini ili wajukuu waje waone... Njoo shamba tulime na kufuga. ukiwa serouse hutojuta...
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Stefano ebu njoo bhana, kwani umeme hujarudi?
  13. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama mzazi wa Mh. Mrisho Gambo amefariki dunia akiwa India kwa matibabu

    Mrisho, nategemea kusikia matumizi sahihi ya rambirambi, usipge panga tu. Make nakumbuka wakati wa wanafunzi. fariji yupo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Stephen Munga: KKKT kamwe haitamuacha mkuu wa Kanisa adhalilishwe

    Askofu amenikumbusha stori ya Eliya na mfalme Ahab wa Israel (1Wafalme 18). Acha wahangaike na wapakwa mafuta wa BWANA nae atawanyoosha. Yeremia aliwaambia watawala wa Israel kuhusu matokeo ya uovu wao na hawakutaka kusikia pia. Walikuwa watumwa.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu J. Kikwete: Safari zimenifunza ni heri "Mtembea bure kuliko Mkaa Bure"

    Uongozi ni unyenyekevu na busara. Uongozi si ubabe na micfa. Uongozi huanzia nyumbani na ukitaka watu wakujue jinsi unavyoiongoza familia yako basi shika madaraka...
Back
Top Bottom