Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya Kisarawe

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,469
581
Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya kisarawe, aliyeko maeneo hayo anijuze bei na eneo lenyewe umbali gani toka bara bara kuu?
 
Natafuta kiwanja na shamba maeneo ya kisarawe, aliyeko maeneo hayo anijuze bei na eneo lenyewe umbali gani toka bara bara kuu?

Mimi pia nimenunua mashambaa kisarawe kama bado unahitaji nicheki inbox na wakazi wengi k
ule wanauza maeneo naweza kukuunganishaa nao
 
mkuranga anayehitaji yapo
kitonga na mwanadilatu
unaweza pitia njia ya mvuti au mmbande.
3m per acre
 
Kila Mtanzania analima au anataka kulima sasa hivi. Tusubiri poromoko la mazao ..
 
kuna anaeitaji shamba bado? mim nauza sahamba/kiwanja 20*20 lipo km3 kutoka kisarawe mjini na mita 20 kutoka barabara kuu ya lami. nipe 2.5M
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom