Hizo Ndoto ziliotwa Sana mwaka Jana, vipi zimeanza tena kuotwa na Vyura? Dangote aache kununua timu Uingereza au kwao Nigeria ambako soka Lipo juu na mashabiki wengi aje awanunue vyura? Kodisheni bhana
Acha uzushi, Lini amekulazimisha? Raja hiyo bei uisemayo hapa. Maji yanauzwa bei ya mitaani na Siyo lazima ununue kwake, wengi tu wanaenda nayo toka majumbani mwao. Angalia hiyo roho uliyo nayo, isije ikawa ya mpinga Kristo
Rudi Shuleni inaonyesha ulikimbia umande, unaweza jilinganisha na watu Wa Mbeya wewe? Kama hujui Watu Wa Mbeya Ndiyo Watu waliotapakaa Ulimwenguni, Dar Siyo Jiji la kuwafanya wawe washamba. Ebu niishie hapa, ila Acha ushamba Wa kisukuma
Ukichukia ujue wewe ndiye kakuita, ila Mimi najua alilenga viongozi hasa Siyo Mimi, na wale wanaochagua viongozi wasioleta maendeleo hao Ndiyo aliowaita.
Zanzibar inaongozwa kidini bila kuwa wazi, Ndiyo maana ukienda kule wakati mfungo utakoma na njaa, hata wasio waislam wanalazimishwa kufunga. So sishangai kabisa hilo
Madai ya mashabiki wengi Wa Mpira walimwita Mhenga wakati anasajiliwa, hivi bado hawa Watu wanaweza kumwita mpaka sasa? Kacheza michezo mitano tu lakini ana magori kumi sawa na magori yote waliyofunga Yanga. Wadau kuna mchezaji Kweli Wa kumfikia Okwi hapa Tz?
Wewe Ni Kahaba Tu, Ndiyo Maana Ndoa Yako Imekushinda, Kwa makusudi kabisa unavuluga Ndoa Ya Watu Huku Unatembea Na Boss Wako, Wewe Siyo Binadamu Ila Ni Shetani Moja Kwa Moja. Acha Ukahaba, Malipo Ni Hapahapa Duniani
Mkuu mbona unaandika kishabiki Sana, kwani hukusikia walivyoongea wote kwamba yapo mambo mengi waliyoyajadili? Ulitaka kila kitu wakiseme palepale? Then ninyi ndiyo mmeumbuka kweli kawaumbua Lowassa na mnashindwa Hata sehemu ya kuficha nyuso zenu. Ndiyo maana mnaandika kwa hasira Sana. Kanusheni...
Wakanushe Ukweli, unajuaje Kama jamaa hakurekodi Kama ushahidi kile walichokuwa wanaongea? Wewe uliona Lowassa akimpongeza Magufuli Mbele ya Kamera za waandishi WA Habari, ila hukuona maongezi yao. Sasa unapotaka Wakanushe huamini alichokizungumza Lowassa? Ukweli kwako ni Ikulu kukanusha?
Bora ya Trump aliyewatukana watu ambao sio raia wake wala kutoka bara la America, kuliko viongozi wetu wanaotutukana sisi raia wao. Mara vilaza, nyumbu sijui malofa[emoji16]!
Asante Trump umetulipizia. Yani sasa hivi wote tumelingana tumekuwa shithole bila kujali we ni nani. Haijalishi we ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.