Kwanini Kurugenzi ya Habari (Ikulu) imekaa kimya kuhusu taarifa ya Lowassa hadi sasa?

Wewe nayeee....kuchamba kwako kwingiii mwishowe unatoka na nnya vidoleni.

Hivi ni lazima kila kitu upost wewe?...au unadhani uko smart sana kuliko wengineo?...achaga kiherehere kama mtetea anayehitaji dume...unakera sasa.

Unataka kutuaminisha kuwa kurugenzi ya habari haifanyi kazi sio? Au unaitaka hiyo nafasi ya msigwa gerson?....acha kiherehere.

Unataka kutuaminisha kuwa lowassa ni muongo sio?...acha kutumika maana toilet papers kama nyie huwa mnatupwa chooni na kuwa flushed.

Shithole countries for shithole people like you....ACHAGA US SHITHOLE WEWE.
Mkuu, una busara sana. Ubarikiwe sana. Jua ya kuwa hasira zako hazijibu hoja zangu. Pathetic!
 
Lowassa amesema:

1. Rais Dr. John Pombe Magufuli ndiye aliyemualika Lowassa Ikulu kwakuwa alikuwa na ujumbe wa kumpa.

2. Rais Magufuli alimpa ujumbe Lowassa wa 'kumuomba' arejee CCM na Lowassa alikataa.

3. Yeye Lowassa na Rais Magufuli walijadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali kama ukiukwaji wa haki za kibinaadamu, ukandamizwaji wa demokrasia na kadhalika.

Kimsingi, taarifa aliyoitoa Lowassa, ikisemwa kuwa ni maelezo aliyoyatoa mbele ya Kamati Kuu ya chama chake-CHADEMA inaleta sintofahamu kuhusu nini hasa kilijiri kabla, wakati na baada ya Lowassa kwenda na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli.

Taarifa ya Lowassa inatofautiana waziwazi na hata video zilizooneshwa siku alipomtembelea Rais Ikulu na Rais Magufuli pamoja na Lowassa mwenyewe kutoa muktasari wa kilichojiri. Taarifa ya Lowassa ilipaswa kujibiwa kwakuwa ni yeye mwenyewe aliyeamua kuanika vya sirini.

Kwanini Kurugenzi ya Habari-Ikulu imekaa kimya badala ya kufafanua kuhusu kilichosemwa na Lowassa? Je, ni kweli Mhe. Rais ndiye aliyemualika Lowassa Ikulu? Je, ni kweli Mhe. Rais alimuomba Lowassa arejee CCM na Lowassa alikataa? Na kadhalika na kadhalika.

Kisheria, kukaa kimya (hata wakati wa kusomewa mashtaka mahakamani) ni kusema HAPANA/SI KWELI. Kijamii, kukaa kimya ni kusema NDIYO/NI KWELI. Tushike lipi hapo?
Wanasubiri maelekezo..The guy is stressed can't get close to him..
 
Nadhani kazi ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ni kutoa taarifa za Rais, na mambo ya Ikulu na sio kurugenzi ya mambo ya Lowassa.
Naamini taarifa yao ishatolewa na tuliwasikia wote Lowassa na Magufuli wanaongea hadharani kuhusu ugeni wa Lowassa na sifa zake kwa JPM.
Kuna picha pia zikiwaonyesha "maswahiba" hao wakiwa na nyuso za furaha.
IMG-20180110-WA0008.jpg

Kitendo cha Lowassa kutoa taarifa inayokinzana na alichosema hadharani, tena baada ya "kutemewa cheche" na chama chake cha Chadema ni kitendo dhalili, cha ukigeugeu kinachomshusha hadhi.
Naamini kama kulikuwa na lolote la Muhimu Lowassa angesema pale pale hadharani.
Lakini kitendo alichokifanya baadaye kinaacha maswali mengi na kutilia shaka uadilifu wake wa kisiasa.
Hata hivyo sio mara ya kwanza Lowassa kuwa kigeugeu na kuruka kauli zake.
Mwaka 2015, mara baada ya kukatwa kugombea na Ccm alitangaza hadharani kuwa hatahama ccm, wasiompenda watahama wao...lakini mara paaap...haukuisha hata mwezi mmoja akahamia chadema.
Hivi sasa Lowassa kasema hahami chadema, tunamuanije? Historia yake ya nyuma ikoje? Kama kaziruka sifa zote alizompa JPM hadharani je ahadi yake hii itadumu kwa siku ngapi?
Kazi kwenu...
 
Mkuu zoezi lilibumbuluka. Kibaya zaidi mjengoni walitoa taarifa kwa vyombo vya habari ujio wa EL lakini hawajatoa alienda kufanya nini kibaya zaidi hawajakanusha au kuunga mkono.
***
Tunapoitwa shitholes tusilalamike
It's only shitholes countries wanaendekeza upumbavu huu
shithole wewe mwenyewe pekee yako usiwaunganishe na wengine.
 
Trump hakusema mtu mmoja alisema Africa yote so ukubali ukatae 'You live in a shithole country'
Tofautisha
Africans are not shitholes butAfricans live in shithole countries sababu ya uongozi na viongozi wabovu wabinafsi wadhulumaji watesaji wauwaji sasa nini kigumu kuelewa au unapenda kuonyesha ujinga wako.
 
Hizi hapa ni most dangerous countries in the world
Nchi za kiafrica zipo ngapi?
upload_2018-1-16_15-23-12.png

Kama umekubali kuwa Shithole ni wewe pekee yako, usiwaunganishe na wengine.
 
Hakuna WAFUASI rahisi kuwaongoza kama BAVICHA.Nilitegemea wapinge sana hii barua kuwa imejaa unafki tena kwa jambo lililowazi,cha ajabu wanaunga mkono barua hii.hawa jamaa nimeamini ni NYUMBU
 
Lowassa amesema:

1. Rais Dr. John Pombe Magufuli ndiye aliyemualika Lowassa Ikulu kwakuwa alikuwa na ujumbe wa kumpa.

2. Rais Magufuli alimpa ujumbe Lowassa wa 'kumuomba' arejee CCM na Lowassa alikataa.

3. Yeye Lowassa na Rais Magufuli walijadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali kama ukiukwaji wa haki za kibinaadamu, ukandamizwaji wa demokrasia na kadhalika.

Kimsingi, taarifa aliyoitoa Lowassa, ikisemwa kuwa ni maelezo aliyoyatoa mbele ya Kamati Kuu ya chama chake-CHADEMA inaleta sintofahamu kuhusu nini hasa kilijiri kabla, wakati na baada ya Lowassa kwenda na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli.

Taarifa ya Lowassa inatofautiana waziwazi na hata video zilizooneshwa siku alipomtembelea Rais Ikulu na Rais Magufuli pamoja na Lowassa mwenyewe kutoa muktasari wa kilichojiri. Taarifa ya Lowassa ilipaswa kujibiwa kwakuwa ni yeye mwenyewe aliyeamua kuanika vya sirini.

Kwanini Kurugenzi ya Habari-Ikulu imekaa kimya badala ya kufafanua kuhusu kilichosemwa na Lowassa? Je, ni kweli Mhe. Rais ndiye aliyemualika Lowassa Ikulu? Je, ni kweli Mhe. Rais alimuomba Lowassa arejee CCM na Lowassa alikataa? Na kadhalika na kadhalika.

Kisheria, kukaa kimya (hata wakati wa kusomewa mashtaka mahakamani) ni kusema HAPANA/SI KWELI. Kijamii, kukaa kimya ni kusema NDIYO/NI KWELI. Tushike lipi hapo?
Samahani ile video ilikuwa ya dakika ngapi? Na kikao kati ya Lowassa na Rais kilichukua dakika ngapi? Again ccm tusaidieni namna unavyoweza kusummaries Maneno uliyoyatoa kwa Masaa mawili ukayaweka kwenye 10 seconds
 
Wakanushe Ukweli, unajuaje Kama jamaa hakurekodi Kama ushahidi kile walichokuwa wanaongea? Wewe uliona Lowassa akimpongeza Magufuli Mbele ya Kamera za waandishi WA Habari, ila hukuona maongezi yao. Sasa unapotaka Wakanushe huamini alichokizungumza Lowassa? Ukweli kwako ni Ikulu kukanusha?
 
Nadhani kazi ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ni kutoa taarifa za Rais, na mambo ya Ikulu na sio kurugenzi ya mambo ya Lowassa.
Naamini taarifa yao ishatolewa na tuliwasikia wote Lowassa na Magufuli wanaongea hadharani kuhusu ugeni wa Lowassa na sifa zake kwa JPM.
Kuna picha pia zikiwaonyesha "maswahiba" hao wakiwa na nyuso za furaha.
View attachment 677009
Kitendo cha Lowassa kutoa taarifa inayokinzana na alichosema hadharani, tena baada ya "kutemewa cheche" na chama chake cha Chadema ni kitendo dhalili, cha ukigeugeu kinachomshusha hadhi.
Naamini kama kulikuwa na lolote la Muhimu Lowassa angesema pale pale hadharani.
Lakini kitendo alichokifanya baadaye kinaacha maswali mengi na kutilia shaka uadilifu wake wa kisiasa.
Hata hivyo sio mara ya kwanza Lowassa kuwa kigeugeu na kuruka kauli zake.
Mwaka 2015, mara baada ya kukatwa kugombea na Ccm alitangaza hadharani kuwa hatahama ccm, wasiompenda watahama wao...lakini mara paaap...haukuisha hata mwezi mmoja akahamia chadema.
Hivi sasa Lowassa kasema hahami chadema, tunamuanije? Historia yake ya nyuma ikoje? Kama kaziruka sifa zote alizompa JPM hadharani je ahadi yake hii itadumu kwa siku ngapi?
Kazi kwenu...
Mkuu mbona unaandika kishabiki Sana, kwani hukusikia walivyoongea wote kwamba yapo mambo mengi waliyoyajadili? Ulitaka kila kitu wakiseme palepale? Then ninyi ndiyo mmeumbuka kweli kawaumbua Lowassa na mnashindwa Hata sehemu ya kuficha nyuso zenu. Ndiyo maana mnaandika kwa hasira Sana. Kanusheni zirushwe sauti zilizorekodiwa muumbuke zaidi
 
komamgo: Kwa hiyo unatuhabarisha kuwa mzee ana tabia mbaya ya kuwapa watu vitu wakiingia ndani kwake? Loo! Kumbe na Half Ray amepewa vitu juzi alipoingia ndani kwa mzee! Tabia na mawazo hayo machafu uache.
 
Yani kurugenzi ya mawasiliano imekosa kazi ya kufanya ianze kujibu barua ya kutengenezwa ufipa.....lol
 
Mkuu mbona unaandika kishabiki Sana, kwani hukusikia walivyoongea wote kwamba yapo mambo mengi waliyoyajadili? Ulitaka kila kitu wakiseme palepale? Then ninyi ndiyo mmeumbuka kweli kawaumbua Lowassa na mnashindwa Hata sehemu ya kuficha nyuso zenu. Ndiyo maana mnaandika kwa hasira Sana. Kanusheni zirushwe sauti zilizorekodiwa muumbuke zaidi
Sijaandika kishabiki.
Huo ushabiki unaousema uko wapi? We ndo unataka kuleta ushabiki mahali pasipo.
Nimeandika ninachokijua na kilichosemwa hadharani...kama wewe ukikuwepo kwenye hicho kikao kati ya JPM na Lowassa tuambie na kama unayo mengine ya ziada unayosema yaliyorekodiwa yaweke hapa jukwaani.
 
Lowassa amesema:

1. Rais Dr. John Pombe Magufuli ndiye aliyemualika Lowassa Ikulu kwakuwa alikuwa na ujumbe wa kumpa.

2. Rais Magufuli alimpa ujumbe Lowassa wa 'kumuomba' arejee CCM na Lowassa alikataa.

3. Yeye Lowassa na Rais Magufuli walijadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali kama ukiukwaji wa haki za kibinaadamu, ukandamizwaji wa demokrasia na kadhalika.

Kimsingi, taarifa aliyoitoa Lowassa, ikisemwa kuwa ni maelezo aliyoyatoa mbele ya Kamati Kuu ya chama chake-CHADEMA inaleta sintofahamu kuhusu nini hasa kilijiri kabla, wakati na baada ya Lowassa kwenda na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli.

Taarifa ya Lowassa inatofautiana waziwazi na hata video zilizooneshwa siku alipomtembelea Rais Ikulu na Rais Magufuli pamoja na Lowassa mwenyewe kutoa muktasari wa kilichojiri. Taarifa ya Lowassa ilipaswa kujibiwa kwakuwa ni yeye mwenyewe aliyeamua kuanika vya sirini.

Kwanini Kurugenzi ya Habari-Ikulu imekaa kimya badala ya kufafanua kuhusu kilichosemwa na Lowassa? Je, ni kweli Mhe. Rais ndiye aliyemualika Lowassa Ikulu? Je, ni kweli Mhe. Rais alimuomba Lowassa arejee CCM na Lowassa alikataa? Na kadhalika na kadhalika.

Kisheria, kukaa kimya (hata wakati wa kusomewa mashtaka mahakamani) ni kusema HAPANA/SI KWELI. Kijamii, kukaa kimya ni kusema NDIYO/NI KWELI. Tushike lipi hapo?
Bado nimeungana na andiko la pascal mayalla kusubiria masaa 24 yapite ili nijue kama maneno aliosema lowasa yako sahihi
 
Watasema kama walivyosema hawawezi kubishana na Lissu kwakuwa anapata matibabu
 
Back
Top Bottom