Itaongeza ajira. Itatengeneza ajira kuimarisha sekta za ujenzi, madini, kilimo, utalii na huduma za jamii. Itaweka kipaumbele kwa sekta za uchumi zinazotengeneza ajira kwa watu wengi mfano kilimo. Kwa kuwa kipaumbele kimewekwa kwenye elimu, CHADEMA inaamini kuwa shule nyingi zaidi zitajengwa...