Wanasiasa waliowika 2009

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wakuu

Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya na pili niwape pole kwa magumu yaote yaliyowapata 2009.

Tukiwa tunauaga mwaka 2009 na kuukaribisha 2010 ni vema tukajadili wanasiasa waliowika mwaka 2009.Mimi naanza na wachache wengine mtanisaidia.Nawataja kwa majina bila kujali anatoka chama gani.

1. Freeman Mbowe
2. Dk Slaa
3. Zitto Kabwe
4. Harrison Mwakyembe
5.Nape Nnauye
6. Sophia Simba
7.John Mnyika
8.Anna Kilango
9.Shibuda
10.Halima Mdee
11.Mrema Lyatonga
12.David Kafulila

Hii orodha haiko inorder majiana yametajwa tu kishaghla bagala.
 
Nafikiri itakuwa vizuri kama utaweka maana ya neno kuwika. Kwani ukisema Dr. Slaa, Mwakyembe kawika na Sophia Simba kawika. They can be in the same list.
My concern.
 
Mwafrika umedata.

Hivi kwa nini tuna wa idolize sana wanasias?

And then we wonder why everybody wants to be an MP.
 
Ukisema wanasiasa waliowika na ukamuweka Sophia Simba inamaana kuwika huko ni kuonekana kwenye vyombo vya habari na kuandikwa sana basi kama ni hivyo usiwasahau hawa:

1.Rostam Aziz-----------Richmond,Kagoda na Dowans
2.Edward Lowasa-------Richmonduli i mean Richmond
3.Samuel Sitta----------Sakata na CCM la kutaka kufukuzwa uanachama
4.Karamagi--------------Richmond na TICT
5.Masha----------------Sakata lake na Mengi,Vitambulisho na IMMA
6.Anna Kilango----------Tuzo kutoka Marekani
7.Shukuru Kawambwa----TRL na Barabara ilioanza kujengwa kabla ya Budget
8---------
9---------
10----------
 
Mwafrika umedata.

Hivi kwa nini tuna wa idolize sana wanasias?

And then we wonder why everybody wants to be an MP.

Bluray,

Najaribu kusafisha ubongo wangu (sio akili, narudia tena, sio akili kama aliyopimwa Kikwete) kabla ya mwaka mpya wa kirumi haujaanza.
 
Bluray,

Najaribu kusafisha ubongo wangu (sio akili, narudia tena, sio akili kama aliyopimwa Kikwete) kabla ya mwaka mpya wa kirumi haujaanza.

Mwafrika umedata square,

Uliposema "Kirumi" umenigusa, hata mie nilikuwa natafakari, hivi huu mwaka mpya sio wetu, sie tunajua mwaka mpya wetu unaanza lini? Au hata tunao?

Halafu mbona sijasikia list ya wasanifu majengo ya mwaka 2009, au madaktari etc.

Kwetu kama si wacheza mpira basi ni wanamuziki na wanasiasa, wasanii watupu.

Hamna mtu mwenye profession isiyo sanaa tunayeweza kumuenzi!
 
Mwafrika umedata square,

Uliposema "Kirumi" umenigusa, hata mie nilikuwa natafakari, hivi huu mwaka mpya sio wetu, sie tunajua mwaka mpya wetu unaanza lini? Au hata tunao?

Mwaka wetu waafrika ninahisi tunao, nimemwona companero kwa mbali akisoma hii thread na itabidi nimpigie simu aje kusaidia hapa.

Halafu mbona sijasikia list ya wasanifu majengo ya mwaka 2009, au madaktari etc.

Kwetu kama si wacheza mpira basi ni wanamuziki na wanasiasa, wasanii watupu.

Hamna mtu mwenye profession isiyo sanaa tunayeweza kumuenzi!

Bluray,

Labda wale jamaa wa TPN wanaweza kufanya kitu kama hii wakipenda. Mimi nawafagilia sana jamaa wa TPN (ingawa niliikimbia ile thread yao bila sababu yoyote) kwa kile wanachojaribu kufanya na nitajaribu kuwaomba waanzishe vitu kama hivi kwa ajili ya mapro ambao sio wasanii au wanasiasa.
 
Hizi theads zina mi idea kibao ambayo kama watu wenye kujua kuchota hapa watachota sana.
 
Mwafrika,

Kweli umedata, unahitaji ukapimwe mirembe. Mtu mwenye akili hawezi kutumia siku nzima kufukuzana na threads ili eti kumchafua mwakalinga.

Inaelekea kiboko ulichotandikwa jana kimekukolea vizuri sana. Hii ndio JF, wakati unajifanya mjuaji zaidi kuna watu wengi tu wanajua zaidi.

Bwa ha ha ha,

Eti kiboko, kama huko porrraandi upupu ndio mnaita viboko basi afadhali mrudi soviet union tu maana mmeishiwa.

So far, huu ni mwanzo tu wa hii mechi.

mwafrika

vs

Samwel/Magoli/Mkulima/Mkama/Bambumbile/msauzi/lugombo/Mtanzania/Mwakalinga + Sikonge/Muheza

**** Matokeo yatakuwa uchaguzi mwakani.

Kama mtu kusoma poland ni shida, wewe msomi wa Marekani umelifanyia nini taifa?

Hayo ya kusema poland ni shida unayasema wewe.
 
Kaka mwafrika ushauri wa bure pumzisha akili yako na itumie kwa yanayojenga na sio kubomoa.

Una haki ya kuniita mimi jina lolote ulitakalo, heri ya mwaka mpya na mwenyezi akuzidishie busara na kukupungizia ujinga.
 
Asante Lugombo
 
Wakuu kwa kwelimeniacha hoi,meipoteza kabisa mada.Hivi ni kwanini lakini?lengo la kuiharibu hii madani nini hasa?My friend Mwafika na timu yakonaomba mnijibu.
 
Back
Top Bottom