Recent content by lughombo

  1. lughombo

    JamiiForums Tanzania Rungwe amvaa Makonda, amtaka amalize utata, aache kulia

    Yupi sasa kati mh.Hashim Rungwe na Makonda anaweza kutafuta kiki kwa mwenzie? yawezekana haujielewi zaidi ni ushabiki tu.kaa mbali
  2. lughombo

    JamiiForums Tanzania Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

    Hayo aliyoongea huyu dada niya kweli, maana mimi mwenyewe nipo hapa montepuez na leo ndio tulikuwa na mkutano na mwakirishi wa balozi mchana ujumbe aliouleta amesema tumepewa siku tano yaani mwisho juma tatu, kwa aliye na nyumba, biashara aina yoyote kwa ujumla mali zinazo bebeka na zisizo...
  3. lughombo

    JamiiForums Tanzania Nikki Mbishi: Wimbo wa “I’m sorry JK” usichezwe popote wala kusambazwa, sitahusika kwa chochote

    Hiyo pongezi niya vip kejeri au?
  4. lughombo

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Kwa kuwapotosha watanzania saivi kidini unaweza ukafeli labda kwa watu wasio jielewa kaka mkubwa, kwa sababu miasha ya sasa hata ukiomba kuomba kazi kwa mkristo au muislam unapata bila kiegezo cha dini bali niviegezo vingine.
  5. lughombo

    JamiiForums Tanzania Masikini Manji, hii ndio Bongo!

    Lakini mbona wakufungwa viatu hajatajwa wakati anaishi dar hapahapa au hii si hasa tu?
  6. lughombo

    JamiiForums Tanzania Masikini Manji, hii ndio Bongo!

    Lakini mbona wakufungwa viatu hajatajwa wakati anaishi dar hapahapa au hii si hasa tu?
Back
Top Bottom