Recent content by Lughe

  1. L

    JamiiForums Tanzania Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

    ila show imepooza wanaboa sana..
  2. L

    JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC

    Sam Mahela wa ITV anakoenda atakua na uwezo mkubwa pia!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu Salim Kikeke wa BBC

    Nimejifunza kitu kikubwa "KUTOKATA TAMAA NA KILA KITU KINAWEZEKANA UKIJIKUBALI. I LOVE IT!NA HII NDO SABABU BBC IDARA YA KISWAHILI NI NZURI...!UKILINGANISHA NA HABARI NYINGINE ZA TV HAPA BONGO.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa internet connection blackberry 8310/bold

    HALLO JF MEMBERS!!!!!! HABARINI ZA MAPUMZIKO YA 8 AUG. NATUMAI MPO SO SO FRESH! JAMANI NIMEKWAMA KUUNGANISHA SIM YANGU Brackberry 8310 NA HUDUMA YA INTERNET,....NISHAJARIBU KUWAONA TIGO WANISAIDIE BUT WALICHEMKA!!!!!!!!!!!ILA NATUMAINI HAPA JF HAKIHARIBIKI KITU. asanteni
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waungwana mnisaidie kupata/kupanga national housing

    JAMANI WAUNGWANA! NAOMBENI MNISAIDIE KUPATA NYUMBA YA KUPANGISHWA NHC,MAENEO YA ILALA-BOMA,UBUNGO-SHEKILANGO N.K. NITAUDHAMINI SANA USHIRIKIANO/MCHANGO WAKO KATIKA KUPATA UFUMBUZI WA HII SHIDA YANGU. Asanteni.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Usafi wa kinywa: Meno na Ulimi

    sugua kwa colgate na mswaki ambao brash zake ngumu kiasi na sio laaini sana ukiikosa kabisa tumia whitedent ,fanya mara mbili kwa kutwa......asub na kabla ya kwenda kulala for at least 2min......na pia unaweza fanya kwa pale unapohisi mdomo mchafu/mzito....in case umekula dagaa or tembele.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema atoa Tamko Kali - Mkuu wa Mkoa wa Arusha Atishia kumbambikizia kesi

    ivi tutafika kwa mwenendo huu hawa viongozi waandamizi wa serikali??????????/hii jeuri wanaitoa wapi na maslahi gani na ya nani????????ili khali wananchi/wadau wenyewe wanajua kila hila na maovu yao????????May God bless Lema! Wanaharakati na wanaotakia mema Taifa letu tushikamane kuondoa hii...
  8. L

    JamiiForums Tanzania MASHUDU YA ALISETI YANAPATIKANA/Sunflower seed cake available for sale!

    Mama Joe,twapatikana Dar Es Salaam ongea kiasi tufanye biashara. YOU ARE WELCOME.
  9. L

    JamiiForums Tanzania MASHUDU YA ALISETI YANAPATIKANA/Sunflower seed cake available for sale!

    Hallo tuko hapahapa Dar Es Salaam na mzigo uko tayari store. ongea kiasi utakachohitaji tuwasiliane tufanye biashara. YOU ARE WELCOME.
  10. L

    JamiiForums Tanzania MASHUDU YA ALISETI YANAPATIKANA/Sunflower seed cake available for sale!

    Hallo Mocrana,niko hapa Dar Es Salaam na mzigo upo tayari store hapahapa Dar.If you are serious please wewe ongea kiasi unachohitaji then tuwasiliane tufanye biashara.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji JB apanga kugombea ubunge mwaka 2015...

    wazo zuri..........ila hata ukiwa mbunge bado ukipata muda hasa baadhi ya rikizo unarudi tena kwenye fani ma funs wako tuendelee kuenjoy.
  12. L

    JamiiForums Tanzania CNN African Journalist Awards 2012... No Tanzanian

    Tanzania still not opened to world!
  13. L

    JamiiForums Tanzania MASHUDU YA ALISETI YANAPATIKANA/Sunflower seed cake available for sale!

    Habari zenu Wakuu, Mashudu ya alizeti yanapatikana kwa bei nafuu. Naombeni muhitaji au kama utakuwa unafahamu jamaa karibu yako wanahitaji unaweza kuwafahamisha! nawasilisha.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kibanda afanyiwa upasuaji, atolewa jicho moja!

    KAULI ya JK it proves how weak intelligence department of our country is. C'se just two weeks we had crime of madder ed pastor ,stil not yet found the gilt. so what's intelligence department is for?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Hallo BAOSITA....Big up kwa kutuletea hii TIBA Kutokana na uzoefu wako vipi inaweza kutibu hata vipele vya joto yaani ni vidogovidogo ivi ila ni visumbufu balaa! Thank you once again. I
Back
Top Bottom