Kuna mgao wa Maji sugu unaendelea katika Jiji la Dar es Salaam.
DAWASA walikuwa wamekata Maji kwa muda wa majuma matatu bila kutoa taarifa. Wananchi walipoanza kuhoji, sasa hivi wamakuja na mtindo wa kufungua Maji kwa muda mfupi halafu yanakatika. Kwa mtindo huu hata kupata Maji ya kuhifadhi...
Linapokuja suala la nguvu aliyopewa Rais wa JMT na katiba yetu, halafu Zanzibar ina Rais wake na inalinda maslahi yake, wakati Tanzania Bara haina Rais isipokuwa Raisi wa JMT ambaye anaweza kutokea Zanzibar na katiba inampa nguvu ya kufanya atakavyo na katiba haimuwajibishi. Inashangaza sana...
Mimi siwezi kuacha kwenda Kanisani. Mambo ya Imani yanaendana na ufahamu wa mambo ya kiroho, ambayo ni ngumu sana kuyaelezea kwa ufahamu wa kawaida. Pia mambo ya Imani na uhusiano na Mungu no mambo binafsi. Kujua uwepo wa Mungu kunatokana na uzoefu binafsi wa mtu anavyomfahamu na kuhusiana na...
Hiyo shida pia ipo mitaa ya Mbezi Makabe, maji hayatoki, magari ya maji yanapishana tuu kupiga hela. Na magari hayo yanauza maji ya DAWASA. It's weird, watu wanafanya wanavyotaka, hawana utu. Imagine watu wameunganishiwa maji lakini maji hayatoki na wanauziwa maji safi ya DAWASA kwenye magari...
Looks like kilichoandikwa kwenye kitabu cha ufunuo, ni mtu atakaye umbwa kwa makusudi ya muovu
15 Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.
Ufunuo wa Yohana 13:15
That will be new version ya human being, lakini hatakuwa mtu mwenye nafsi na Roho yenye sura ya Mungu, atakuwa mtu ambaye hana asili ya Mungu katika utu wake wa ndani, ambao ndio mtu halisi, utu wa ndani wenye sura ya Mungu una upendo, huruma , ukarimu, imani na ibada kwa Muumba.
Taarifa zilizopo ni kwamba Precision Air ilipata Ajali jirani kabisa na Uwanja wa Ndege wa Bukoba, sababu ni kutokana na Hali ya hewa kuwa mbaya. Haikuangukia kwenye maji kabisa ila kwenye tope zaidi. Hakuna Majeruhi wala Vifo. Wote wameokolewa.'
Taarifa zilizopo ni kwamba Precision Air ilipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.