Recent content by Luggano

  1. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya IPP NI YAPI?

    Si juzijuzi hapa alizindua IPP Gold kule London? Nayo ishafilisika?
  2. L

    JamiiForums Tanzania chezea facebook wewe

    His funeral is next week......
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Modem ya tigo inanitatiza

    I meant model na namba yake! Like Huawei E177, ama Huawee E220....kuna model number somewhere angalia ndo tuanzie hapo.
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Modem ya tigo inanitatiza

    Ms Judith modem model gani?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Connect Dots: Jambo Leo Liliandika "Maisha ya Mwakyembe Hatarini"... Pinto aliwasindikiza Airport!

    Mkuu Chakaza wacha nikusaidie kidogo........ Alex Massawe........Yes huyo huyo aliekamatwa Dubai.
  6. L

    JamiiForums Tanzania sultanic class

    Mwenyewe kaandika Sultanic, nikajua mambo kama ya watawala wa Zenji kule, kumbe Satanic?
  7. L

    JamiiForums Tanzania lumba la kiutu uzima

    Naona wamemuachia MAHABUSU wetu anazurura tu......
  8. L

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa kuoga anashindwa

    Mhhhh ama kweli kua uyaone. Pole ndugu yangu ngoja watakuja madokta wa JF watakupa msaada
  9. L

    JamiiForums Tanzania Jambazi la kihindi lakamatwa jijini Dar

    Hahaaaaaa nimecheka mno! Gabachori jambazi???? Kweli maisha magumu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu wa Wizara

    Yule Dr Ndalichako pale pale NECTA ndo panamfaa, na nadhani anaweaz kufanya impact kubwa kwenye elimu akiwa pale kuliko kuenda MoEVT kule politics nyingi sana, ndio maana wataalamu wengi ni bora uwe kwenye hizi "semi autonomous" institutions unakua na uwanja mpana zaidi.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu wa Wizara

    Nadhani wizara nyingi walikua wanakaimu mkuu, Hata yule wa Nishati na madini ni kaimu pia....Tunasubiri UPDATES
  12. L

    JamiiForums Tanzania Sakata la Unga: Mwakyembe aagiza msanii Diamond achunguzwe

    Kila mtu sasa muuza poda! Na mimi basi niko kwenye mtandao, najihusisha...teh Wabongo bwana
  13. L

    JamiiForums Tanzania Faida ya kusoma

    Dahh sijui kwanini tu niliposoma nimejikuta nacheka badala ya kukuhurumia. Pole sana ndugu yangu hayo ndio maisha kuna kila aina ya vikwazo na haupaswi kukata tamaa kiasi hicho.RIZIKI yako ipo tu somewhere itakuja....
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kifo cha askofu Laizer: Ugonjwa aliokuwa anaumwa wawekwa kapuni!

    Bora ameweka wazi maana majitu yalishaanza kuzusha
Back
Top Bottom