Recent content by lugabussa

  1. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hakuna kukata tamaa 💪💪mapambano yaendelee
  2. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuwa na subra apa mi naoral mbili ya mwaka Jana mwezi wa pili 2025 na mwaka jana mwezi wa 12 mwaka 2025 kwa hiyo piga hesab apo ni muda gan umepita adi leo
  3. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Leo hakuna pdf
  4. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    🤔 Funga na Sali sana Hawa jamaa hawatabiliki. Mi oral ya kwanza nilipiga mwezi wa 2-2025nyingine mwez Dec 2025
  5. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa shekhe Kishk anasema maskini wa mwisho peponi atapewa bikra walau wawili(2)

    Kabla sija koment leta Aya na hadhith inayozungumzia hicho kitu ili tusinukuu maneno machache tu
  6. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Umepiga oral mwezi wa ngap
  7. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ulipiga ya mwez wa ngap oral
  8. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ni ngumu lakin uvumilvu unatakiwa
  9. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    🤣🤣🤣 Wengine tunambil tumeufyata mkia
  10. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkeka umelala sijui wote washaingia kula asali ya taifa 😔
  11. lugabussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kiislamu aliye tayari kuwa rafiki, mchumba hatimaye mume

    [emoji848][emoji848]umri daaah unaninyima nusra
  12. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Anataka kusoma diploma ya Radiology muhimbili mwaka huu. Kwa matokeo haya Atafanikiwa kupata nafasi kweli

    Labda aende diploma muhimbili Ila so kwa bachelor
  13. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Hello,je Ni kozi gani nzuri za postgraduate diploma anaweza kusoma mtu aliegraduate degree ya science with education
  14. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Hello,je Ni kozi gani nzuri za postgraduate diploma anaweza kusoma mtu aliegraduate degree ya science with education
  15. lugabussa

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    [emoji1787][emoji1787]Kuna Shule moja mpaka mwalimu aliona Kuna kelele hizohizo akawa anawatangazia wale ambao wanaitaji kusoma muda wa ziada anawafundisha muda huo na hao wengine walikua wanakatazwa na wazazi wao aliachana nao wabaki na wazazi Hakua hata na muda wa kuwafatilia
Back
Top Bottom