Recent content by ludovick94

  1. ludovick94

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    Kwenye tasnia ya madini kunafursa nyingi sio kuchimba tu kama watu wanavyokariri ukisikia fursa ya madini anawaza kuchimba, ni sawa na tasnia ya kilimo sio lazima uwe mkulima unaweza ukauza pembejeo unaweza ukakodisha mashamba unaweza ukalangua mazao unaweza ukawa muuza mtaalam wa umwagiliaji...
  2. ludovick94

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    Wewe uliesikia na mimi nilieshuhudia nani anapaswa kupewa sikio?
  3. ludovick94

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    kaka karibu kwenye fursa za madini ya dhahabu kuna teknolojia nzuri ya uchenjuaj wa dhahabu na kwa bei nafuu mm pia ni mtaalamu wa hizo teknolojia tuwasiliane kama utakua tayari napatikana kanda ya ziwa hasa geita 0659997074 au 0766927074
  4. ludovick94

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    mlango wa nyuma huo nautaka mm. nimekwama
  5. ludovick94

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya toyota landcruiser inahitajika!!!..

    Nitakuchek kesho mkuu.
  6. ludovick94

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kuchenjua marudio ya dhahabu

    Amin InshaAllah.
  7. ludovick94

    JamiiForums Tanzania UCHENJUAJI WA DHAHABU

    Hakika ndugu.
  8. ludovick94

    JamiiForums Tanzania UCHENJUAJI WA DHAHABU

    Mafanikio huja kwa kufanya kitu unachokipenda. Usikatishwe tamaa. Kila biashara ina changamoto. kila la kheri ndugu.
  9. ludovick94

    JamiiForums Tanzania UCHENJUAJI WA DHAHABU

    Wizi ndio changamoto kubwa. Hapo ndio unakutana na kitu kinaitwa Business secrecy kwa wajasiriamali lazima azingatie usiri katika biashara. Ndio maana serekali imekataza kusafirisha CARBON mkoa mmoja hadi mkoa mwingine.
  10. ludovick94

    JamiiForums Tanzania UCHENJUAJI WA DHAHABU

    Ni vyema kujua changamoto za biashara yoyote kwa undani na namna ya kuzikabili. Moja wapo ni kama uliyosema. Ila kwa upande wa utapeli huwa inatokea kati ya patners, kuaminiana kupita kiasi. Vizur mkafanya kazi kimkataba na kuweka undugu au urafiki pembeni.
  11. ludovick94

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kuchenjua marudio ya dhahabu

    natafuta tenda ya kuchenjua marudio ya dhahabu. Nina elimu ya uchenjuaji wa madini ngazi ya diploma kutoka chuo cha madini dodoma. Asante 0659997074 ludovickassey94@gmail.com
  12. ludovick94

    JamiiForums Tanzania UZALISHAJI WA CEMENT

    Kwaaujuzi wa utaalamu wa uzalishaji wa cement 32.5R na 42.5N. Karibu
  13. ludovick94

    JamiiForums Tanzania UCHENJUAJI WA DHAHABU

    kwa wanaihitaji kufahamu uchenjuaji wa dhahabu au mtaalamu wa uchenjuaji wa madini ya dhahabu Karibu. 0659997074 ludovickassey94@gmail.com
  14. ludovick94

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent NAUZA ENEO LA KUFANYA BIASHARA (BAR, FREMU+SOKO, GARAGE N.K)

    Una maana gan?
Back
Top Bottom