ludovick94
Member
- Feb 21, 2015
- 28
- 3
kwa wanaihitaji kufahamu uchenjuaji wa dhahabu au mtaalamu wa uchenjuaji wa madini ya dhahabu
Karibu.
0659997074
ludovickassey94@gmail.com
Karibu.
0659997074
ludovickassey94@gmail.com
Ni vyema kujua changamoto za biashara yoyote kwa undani na namna ya kuzikabili. Moja wapo ni kama uliyosema. Ila kwa upande wa utapeli huwa inatokea kati ya patners, kuaminiana kupita kiasi. Vizur mkafanya kazi kimkataba na kuweka undugu au urafiki pembeni.Mi napenda sana hii biashara sema kuna jamaa yangu alinambiya kuna utapeli uliokithiri
Wizi ndio changamoto kubwa. Hapo ndio unakutana na kitu kinaitwa Business secrecy kwa wajasiriamali lazima azingatie usiri katika biashara. Ndio maana serekali imekataza kusafirisha CARBON mkoa mmoja hadi mkoa mwingine.Mi napenda sana hii biashara sema kuna jamaa yangu alinambiya kuna utapeli uliokithiri
Mafanikio huja kwa kufanya kitu unachokipenda. Usikatishwe tamaa. Kila biashara ina changamoto. kila la kheri ndugu.Mi napenda sana hii biashara sema kuna jamaa yangu alinambiya kuna utapeli uliokithiri
Mafanikio huja kwa kufanya kitu unachokipenda. Usikatishwe tamaa. Kila biashara ina changamoto. kila la kheri ndugu.
Hakika ndugu.Kweli ndugu