We are urgently need a lady to fill a cacancy of a hotel receptionist to work in our executive hotel located in Tunduru, Ruvuma Tanzania.
As a hotel receptionist, your main duties would include but not limited to:
dealing with bookings by phone, e-mail, letter, fax or face-to-face
completing...
Based in Dar es Salaam, Community of Junior Librarians and information Professionals is a Non Governmental Organization NGOs specializes in Helping academic institutions by linking knowledge available and trainers. We are now looking for volunteers to cover the post of Librarian and library...
Kuhusu hayo makampuni si kwamba yana hasara kwa wafanyakazi tu, hata kwa makampuni 'mama' yanayofanyia kazi kwa sababu wengi wa wafanyakazi wanalipwa ujira mdogo usio na motisha unaopelekea kufanya kazi bila ufanisi. kwa mfano mtu anayefanya kazi call centre kama halipwi vizuri ataendelea kutoa...
Habari wana jamii.
Moyo Business Networking and Info-Consult Tunatarajia kufanya workshop katika vyuo vikuu kadhaa hapa nchini kuanzia mwishoni mwa mwezi March. Tumepanga kuanza na SUA ambapo tutaalika vyuo vyote Morogoro. Workshop zitabeba theme "CARRIAR DEVELOPMENT". Tunahitaji partners...
hiyo ni nzuri sana kwa sababu jana nimepita posta (mjini) nimeshuhudia watu wakituma barua za maombi nyingi zikielekezwa huko. kwa upande mwingine wataiua kampuni yetu POSTA SABABU KWA SASA NI KITEGA UCHUMI CHAO KIKUBWA
tuache utani, elimu yetu itaendelea kushuka kila mwaka. Kama ada ya mtihani wanapandisha kama pledge za harusi bila kutoa pubic notes sidhan kama kuna tupo serious na elim yetu. Au ndo imepanda sambamba na umeme na maji? Nawashauri wanafunzi wawakomoe NECTA kwa kufaulu kwa wingi tuone kama...
kwa hali ilivo sasa msimshangae sana huyo dogo, wanachuo wengi siku hizi wanataka miteremko tu. hoja zake zote hazina mashko. Mfano kuhusu kununua kitabu kwangu naona ni lazima kwa kuwa kitabu chake ni 'trusted source' chuoni hakuna 'nyambari nyangwine' someni vijana! nimetoka hapo sua na GPA...
habari wanajamii
natarajia kuanza likizo kuanzia tar 16 December hadi tar 10 Januari. Nitakuwa Iringa kwa kipindi chote hicho, hivo nahitaji kufanya kazi yoyote inayoendana na fani za habari, Masoko na utafiti, utunzaji wa Nyaraka na computer. usijali kwa chochote ulichonacho nathamini kazi...
Habari wana JF
Nimemeliza Chuo kikuu SUA mwaka jana katka fani ya habari na sayansi ya Maktaba (Information and Library Science) na kupata GPA ya 4.2. Nina uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja kama Mkutubi na kufundisha masomo ya Introduction to Office Practice na Records management katika moja ya...
HABARI!
MOYO BUSINESS NETWORKING AND INFO-CONSULT (MBUNIFU) inawaatangazia wamiliki, wakuu wa shule au vyuo mbalimbali kuwa tumeanzisha program ya kuwawezesha wazitangaze shule zao na au kuwasambazia form katika mikoa mbalimbali ya tanzania. Hii ni fursa adimu na yenye manufaa makubwa kama...
Position1:Principal of a college
Qualifications
Must have master degree in Arts or Science
Experience:
Tutor/lecturer(Teaching experience of 3yrs or above)
Should have leadership experience of heading an academic institute or its equivalent
Position2:Tutors
Responsibilities
Teach...
Duties and responsibilities
· Define and review the business case and requirements by regular reviews and controls to ensure that the client receives the system that he or she wants and needs.
● Initiate and plan the project by establishing its format, direction, and base lines that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.