DAWASA
Maeneo yote ya kipawa na msimbazi hamna maji, tunasikia bomba limeharibika. tupeni mrejesho hatua mliyofikia kwa matengenezo. Hatuna maji mwezi sasa
Magufuli katika ubora wake. Sio mikopo tu nenda kikokotoo, nenda nhif na mengine mengi. Bahati nzuri tunateseka wote ccm na wapinzani. Mrudisheni tenaaaa
Wacha wampe adhabu ya kumsimamisha waone kama watu ndo watampenda magufuli. Wamenyima upinzani coverage ya media, kutumia chopper na hata posters kutoza kodi ili magufuli abaki peke yake, umeona wananchi wamempenda?
Kwanza watu wakiona picha sake barabarani wanasonya tu na kutukana. Zinaudhi...
Wote tumeona kilichotoke kuanza kwa tabia ambayo haikuwepo miaka ya nyuma ya kuengua Wagombea. Tabia hii ilianza wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na kurudiwa wakati huu wa uchaguzi mkuu. Bahati mbaya hakuna ukemeaji wowote uliofanywa na viongozi wastaafu, wa dini wala CSO kulaani tabia...
Ila uchaguzi huu, hata Lissu asiposhinda sindano zimemuingia Magufuli. Kwa kweli kawafungua macho watanzania hata waliokuwa wanamwamini sasa wanaweka alama ya kuuliza.
Ni kweli hata mimi naona MAGU hana hamu kabisa na kampeni. Ingekuwa amri yake ange cancel uchaguzi wote. HATA HIZI FIGISUFIGISU ZA KUENGUA WAGOMBEA ILIKUWA NI MKAKATI WAPINZANIA WAJITOE CCM ITANGAZWE MSHINDI. MAGUFULI HANA HAMU NA KAMPENI HASA KUZUNGUKA NCHI NZIMA HATAKI.
kwa kweli wote tunajiuliza alipewaje cheo kama hiki ambacho 1. lazima uwe umeajiliwa serikali kwa merit 2. umepanda vyeo kufuata cadre yako mpka kuwa senior. huyu alikuwa mwanasiasa hajui hata taratibu za utumishi wa umma ndo maaan unamwona yuko easy tu na bosi wake mwegelo kitu amabcho sio sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.