Recent content by lucy925

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwa Watumiaji wa DSTV

    142,000 ni bei ya zamani kwa premium ongzea pesa lipa 168,000 kama unataka hicho kifurushi hiyo ndio current price ukishafanya hivyo wapigie Multichoice wakureset au kama umehama kifurushi waku-upgrade. Namba hii hapo +255768988800 uwe na namba ya account yako pembeni ukipiga subiri uunganishwe...
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni dawa ya mapenzi tafadhali

    Ni sahihi Sana sio rahisi kumpata akupendaye kwa dhati. Ila wapo wengi tu tatizo La wengi wetu we do expect alot toka kwa wapenzi wetu,,,expectations nyingi mno ambazo hupelekea kuvunjika mioyo Anza kwanza kuonyesha upendo wa dhati and it will reflect kwako.
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni dawa ya mapenzi tafadhali

    Dawa ya mapenzi ni penzi La dhati. Unaweza kuwa single ukadhani utakuwa na furaha zaidi na kuepuka stress lakini ukikutana na couple Ina mapenzi ya dhati mpaka shetani anaogopa utatamani tu na wewe kuwa na wako. Swala ni we binafsi kuchagua mwenza atakayekupenda kwa dhati,kukujali na kuheshimu...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The one who i was ready to catch a grenade for him,he dumped me officially

    Exactly As long as she is in a battle of two,she has to save herself first ....and that's healing her own heart since nobody else will do it better than herself👌👌
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The one who i was ready to catch a grenade for him,he dumped me officially

    Sometimes you have to lie to your heart it will eventually heal.....time covers all wounds. A BROKEN HEART IS A LEASON LEARNED. Every relationship has a beggining and endings some good some bad. You can heal yourself just change your mind mentality on love issues.
  6. L

    JamiiForums Tanzania ipad mini for sell

    PM price yake
  7. L

    JamiiForums Tanzania Housegirl amtesa kinyama mtoto, arekodiwa kwa siri

    Hii ishu ni Uganda jamani
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

    Asante nitafanya hivyo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

    Nakula sana ila siongezeki kwa nini? Na nimepima magonjwa tote sina tatizo La kiafya,hao wataalamu was lishe ntawapataje mkuu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

    Urefu 169 Uzito 44kg
  11. L

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Premithius katoka nae
  12. L

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Kwaheri Frankie
  13. L

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Show imeanza sijui nani anatoka leo
  14. L

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Idris kamuongeza butterfly for eviction
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo haustaili kuvifanya ukiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Vyote hivyo nimefanikisha
Back
Top Bottom